Mwenyewe ndio bosi (aidha mwanamke anayemtaka houseboy, au mwanaume mwenye wasiwasi na houseboy kwa mkewe...)....! Vinginevyo; hii story umeitunga....! Aidha, karibu sana JF...!Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, na huyu shemeji yangu ameniahidi kunipeleka shule na ameniambia nikithubutu kusema kwa bosi ndio nitajiweka katika hali ngumu zaidi na nitafukuzwa kama mbwa hapa nilipo hii kozi ya computer kanipeleka yeye na kaniahidi nikikubaliana naye atanifanyia mengi mazuri na kinachoniumiza zaidi bosi wangu alishaniambia mwisho wa kazi yangu ni mwezi wa kumi na mbili mwaka huu alinieleza tangu ananichukua nyumbani sasa wadau nipeni ushauli kuhusu huyu shemeji yangu nifanyeje
<br /><b>jf inatisha hadi mahouseboy? daaaah? mimi naona utembee nae tu upate mengi zaidi inaeza ikawa from jf to mbunge facebook tayari?</b>
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, na huyu shemeji yangu ameniahidi kunipeleka shule na ameniambia nikithubutu kusema kwa bosi ndio nitajiweka katika hali ngumu zaidi na nitafukuzwa kama mbwa hapa nilipo hii kozi ya computer kanipeleka yeye na kaniahidi nikikubaliana naye atanifanyia mengi mazuri na kinachoniumiza zaidi bosi wangu alishaniambia mwisho wa kazi yangu ni mwezi wa kumi na mbili mwaka huu alinieleza tangu ananichukua nyumbani sasa wadau nipeni ushauli kuhusu huyu shemeji yangu nifanyeje
kwa muda huu uko kwenye keyboard nani analisha mifugo?

Muhhh Hata mimi hilo limenitatiza houseboy wasasa na JF vipi au ndio mambo ya utandawazi????haswaaa! mke wa bosi ni bosi wako pia, jina shemeji ni mazingira ya kazi tu! ila hii story haijakaa uzuri. au labda mleta mada anajua kisa cha houseboy akaamua kujivika uhusika, vinginevyo mazingira ya TZ houseboy na JF ni maji na mafuta.
Mkata majani ndani y jf!! hii kali lkn haileweshi.Muage shemeji yako mwambie unaondoka mwezi wa 12. House boy unaejua kutumia mtandao nimekukubali kama sio igizo