<br />ahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!....ngoja afukuzwe kazi kabla ya kum_do huyo mke wa boss wake,halaf ndio atajua mbivu na mbichi za mjini
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za kunitaka kimapenzi na ameniahidi kuwa ataniamisha na kunitafutia mahali pa kukaa kuliko kusubirli mshahara wa sh 60,000 kwa mwez, na huyu shemeji yangu ameniahidi kunipeleka shule na ameniambia nikithubutu kusema kwa bosi ndio nitajiweka katika hali ngumu zaidi na nitafukuzwa kama mbwa hapa nilipo hii kozi ya computer kanipeleka yeye na kaniahidi nikikubaliana naye atanifanyia mengi mazuri na kinachoniumiza zaidi bosi wangu alishaniambia mwisho wa kazi yangu ni mwezi wa kumi na mbili mwaka huu alinieleza tangu ananichukua nyumbani sasa wadau nipeni ushauli kuhusu huyu shemeji yangu nifanyeje
kumbe kuna nyasi humu ahahaaaa?Hapa JF umekuja kutafuta majani ya ng'ombe?

Kwanza hii stori hainikalii vizuri, lakini tuende kama ilivyo.Rose1980_acha kunfundisha uoga kijana,..kwanza ndio kafika mjini sasa anataka aonje mazuri ya town_hapa ni kumwambia tu kwamba yana shubiri zake,..ila athinki tanki_kama itamlipa achukue na kama ni how come basi apotezee mazee.....kumbuka anatafuta mtaji wa maisha huyo na hii ni golden chance kwake