Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
- Thread starter
- #21
sidhani kama hili jambo lina ukweli ndani yake
kwa uzoefu nilionao ref income tax act second schedule president ana tax exemption
ina wezekana watu wa custom waliona mzigo unajina la mheshimiwa wakauacha tena wantakiwa wapewe taarifa kwa maandishi!
lakini mpaka uwe na jina la mtu ambaye anatakiwa kua exempeted,hayo mengine aliyoeleza jamaa ya kutishwa mm sielewi wa sidhani yapo kwa zama hizi labda zamani zama za ujinga
Wala huhitaji kwenda mbali. Nenda pale bandarini waulize watu wa siku nyingi watakuambia!