...yap! unachagua tu namna gani umtie mdoezi wako adabu.
kuna jamaa yeye akitaka kukojoa dondola hilo linatoka 'tunduni', mkojo ukianza kuishia na kabla jamaa haujarudisha 'mkwaju' -dondola linarudi tena (ndani) kwa kasi ya ajabu!
au, ukianza kukojoa tu unyuzi nao unatoka, ukimaliza mkojo inabidi uukate unyuzi ulipoishia...
Huyu jamaa ana matatizo ya kitabibu, pengine figo, maini au uvimbe aka tumuor.
Yaani mtu anakufa hivihivi watu wanasubiri aliyemfanyizia atoe msamaha, jamani lini tutabadili mitazamo na kuacha kutafuta wachawi?
Hakuna cha uchawi, kulogwa wala kufanyiziwa...ni coincidence ya events tu, jamaa ana matatizo ya kitabibu.
Pamoja na kwamba ni kweli ni vibaya sa kutembea na mke wa mtu na ni dhambi kubwa!
Namimi nakubaliana na wewe huyu bwana apelekwe hosipitali akachekiwa afya yake lazima tu litakuwa tatizo la kitabibu, ni kupita tu hosipitali mbalimbali zenye wataalam.
Unaweaza usimtamani mke wa mtu ,lakini yeye akakutamani wewe.Kuna story sijui Kigoma jamaa alipanda mke wa jamaa akaonywa hakusikia...alikuwa akikojoa dagaaa....sijui kama ni kweli! Binafsi sitaki wala kutamani mke wa mtu...
Basi hata wampeleke kwenye maombi basi,,,,du jamaa namwonea huruma ka nini. Haki huyu likimtoka hili vya hali tena!
Sio kweli...!!Wana Jamii,
Hii ni kali kuliko
Faida unapata kitambi bila kunywa mabiabia ovyo ovyo!
Ni hatari!
Mpelekeni Muhimbili, wengine wanapelekwa south afrika!
Huyu jamaa ana matatizo ya kitabibu, pengine figo, maini au uvimbe aka tumuor.
Yaani mtu anakufa hivihivi watu wanasubiri aliyemfanyizia atoe msamaha, jamani lini tutabadili mitazamo na kuacha kutafuta wachawi?
Hakuna cha uchawi, kulogwa wala kufanyiziwa...ni coincidence ya events tu, jamaa ana matatizo ya kitabibu.
Mbona nao wachawi tu. Tena imefikia siku hizi wanatangaza mpaka kwenye tovuti na kwenye telly.Hii teknolojia mbona isiwekwe wazi?
Itatuongezea kipato kikubwa kwani nchi za Ulaya watakuja kuiga kwetu sayansi hii ya giza.
Mbona nao wachawi tu. Tena imefikia siku hizi wanatangaza mpaka kwenye tovuti na kwenye telly.