Mke wa mtu simwelewi kabisa.

Mke wa mtu simwelewi kabisa.

Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme wake anajua mtoto ni wa kwake pia. Ananisumbua sana nifanyeje?

:target::target:...kwanza ulianza vp ku-date mke wa mtu?!! huna hata haya kuleta hii mada humu na kututaka ushauri? anyway...ni hivi huyo mke wa mtu asiye mwaminifu katika ndoa yake keshapima upepo! kaona mmewe aliyezaa nae mkwanja mdogo na wewe una mkwanja mrefu (kwa akili yake yeye)...so mtoto ni wa mwenye mke, wewe anataka ulee kwa visenti vyako kwa vile ushaonwa ni 'mwanaume -----' ----- a.k.a mtapanyaji mzuri!
:A S angry::A S angry::A S angry:
 
mtoto ya mbogo gani muoga hivyo? Hivi unawajua mbogo wewe?

Afu naanzima vimbegu vya mtotot kidogo, sitakudai pesa.
 
Usibadili line, fuata ushauri wa Bujibuji tatizo litaisha.
 
Kumbe katekista akisema mshahara wa dhambi ni mauti, sio lazima kuwe na jeneza?
 
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme wake anajua mtoto ni wa kwake pia. Ananisumbua sana nifanyeje?

Lazima itakua Ngiba tu hii...
 
ulikula baba mautamu ukaacha na ki zygote, tunza mtoto kiongozi, tabu umejitafutia mwenyewe!
 
Asante kwa ushauri wenu. Tabadilisha line ya sim ili asinipate tena.
MotoYaMbongo!
Ubongo wako qeli unafanyakazi?
Unauhakika huyo mtoto sio wako?
Unajua qanini alikudanganya kuwa hana mume?
Ukibadilisha line itakusaidia nini?​

Kutana na mume mwenzio muongee na kufikia muafaka;
Muende kupima vinasaba kujua mtoto ni wa nani!
Kukimbia tatizo sio utatuzi bali kuahirisha tatizo.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Hata kama hakukuambia ni mke wa mtu...utazaa vipi na mwanamke ambaye hujamuoa???
Majuto ni mjukuu, hilo unalo na limekuganda kaka!!
 
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme wake anajua mtoto ni wa kwake pia. Ananisumbua sana nifanyeje?
umeanza lini....mapenzi....? WE UMEAJIRIWA KWA MUDA KULIMA SHMBA LA MTU, NIKUULIZE HIVI YALE MAZAO YAKIVUNWA NI YAKO.....? KIBARUA HANA SHAMBA.
 
MotoYaMbongo!
Ubongo wako qeli unafanyakazi?
Unauhakika huyo mtoto sio wako?
Unajua qanini alikudanganya kuwa hana mume?
Ukibadilisha line itakusaidia nini?​

Kutana na mume mwenzio muongee na kufikia muafaka;
Muende kupima vinasaba kujua mtoto ni wa nani!
Kukimbia tatizo sio utatuzi bali kuahirisha tatizo.

Bazazi!

ahaaa bazazi,umeniangusha leo!post haijakaa ki-bazazi kabisa!
 
Sitaki sikia habari wanawake cheki, ndo waliomuu Samson, walimsaliti Adamu.
 
Back
Top Bottom