Hahahaaaa,fanya ukuje tu fasta leoleo bila kukosa.Ndo wapi huko? Kuna hela niijie?
Hahahaaaa,fanya ukuje tu fasta leoleo bila kukosa.Ndo wapi huko? Kuna hela niijie?
HayaHahahaaaa,fanya ukuje tu fasta leoleo bila kukosa.
Leo ofisi yako ya Pale Mtaani hujaifungua?Haya
We mpe hapo angekwambia anataka ukamgegede si ungeenda fasta hata kukumbuka kuleta Uzi JF ungesahau, kisa kakuomba pesa unajifanya kuja humu kuomba ushauriWakuu hii imekaaje?
Kuna huyu mwanamke niliwahi kuwa naye miaka hiyo, kwa sasa kashaolewa na ana watoto wawili.
Miaka kama miwili nyuma alinitafuta, nikaona sio kesi tukaanza kuwasiliana japo sio mara nyingi.
Ila cha ajabu huyu mwanamke amekuwa na tabia ya kuniomba hela mara kwa mara.
Je, hii ni sawa kwa mke wa mtu kuomba pesa kwa wanaume, tena waliowahi kuwa wapenzi wake?
Je, ikitokea mkeo ana tabia hiyo utachukua hatua gani?
Je, ukiombwa pesa na ex wako ambaye ameolewa tayari utafanya nini?
Kumpa pesa si mwanzo wa kuharibu ndoa yake ikitokea jamaa yake akajua?
Kumbe hukoooo pamefunguliwa mkuuLeo ofisi yako ya Pale Mtaani hujaifungua?
Pengine wana shirikiana na jamaa ake kukuomba izo hela..[emoji81][emoji81][emoji81]
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Umejiuliza vipi kama huyo ndio mkeo anawasiliana na ex wake kuomba hela halafu ukabamba sms? Ungechukuliaje? Kifupi tu, ni makosa na dharau kubwa kwa mwanamume mwenzio KUWASILIANA na mkewe hata kama mnajuana. Maana ya ndoa ni KUUA PERSONAL INTERESTS na kujenga COMMON INTERESTS.Wakuu hii imekaaje?
Kuna huyu mwanamke niliwahi kuwa naye miaka hiyo, kwa sasa kashaolewa na ana watoto wawili.
Miaka kama miwili nyuma alinitafuta, nikaona sio kesi tukaanza kuwasiliana japo sio mara nyingi.
Ila cha ajabu huyu mwanamke amekuwa na tabia ya kuniomba hela mara kwa mara.
Je, hii ni sawa kwa mke wa mtu kuomba pesa kwa wanaume, tena waliowahi kuwa wapenzi wake?
Je, ikitokea mkeo ana tabia hiyo utachukua hatua gani?
Je, ukiombwa pesa na ex wako ambaye ameolewa tayari utafanya nini?
Kumpa pesa si mwanzo wa kuharibu ndoa yake ikitokea jamaa yake akajua?
Umejiuliza vipi kama huyo ndio mkeo anawasiliana na ex wake kuomba hela halafu ukabamba sms? Ungechukuliaje? Kifupi tu, ni makosa na dharau kubwa kwa mwanamume mwenzio KUWASILIANA na mkewe hata kama mnajuana. Maana ya ndoa ni KUUA PERSONAL INTERESTS na kujenga COMMON INTERESTS.
Halafu wanaume mjifunze kuepuka kuoa wanawake wa jumuiya, matokeo yake ndio hayo. Mwanamke ameolewa ili tu aweke rekodi lakini moyo wake uko kwa vibaka waliokutangulia, ni ushenzi endelevu. Mkuu nakusihi, achaa kabisa kuwasiliana na mke wa mwanamume mwenzio, session yako ilishapita. Hukumuoa huyo kwa sababu hakuwa na viwango ulivyotaka, usiwe sababu ya kuharibu maisha ya mwanamume mwenzio. BE GROWN UP, acha umalaya.
😂😂😂 Ukweli unauma jamaniHapo utakuta mpo kama 10 hivi anachangisha tu, haya maisha haya.... usijione spesho kiviiile.
Umejiuliza vipi kama huyo ndio mkeo anawasiliana na ex wake kuomba hela halafu ukabamba sms? Ungechukuliaje? Kifupi tu, ni makosa na dharau kubwa kwa mwanamume mwenzio KUWASILIANA na mkewe hata kama mnajuana. Maana ya ndoa ni KUUA PERSONAL INTERESTS na kujenga COMMON INTERESTS.
Halafu wanaume mjifunze kuepuka kuoa wanawake wa jumuiya, matokeo yake ndio hayo. Mwanamke ameolewa ili tu aweke rekodi lakini moyo wake uko kwa vibaka waliokutangulia, ni ushenzi endelevu. Mkuu nakusihi, achaa kabisa kuwasiliana na mke wa mwanamume mwenzio, session yako ilishapita. Hukumuoa huyo kwa sababu hakuwa na viwango ulivyotaka, usiwe sababu ya kuharibu maisha ya mwanamume mwenzio. BE GROWN UP, acha umalay🙏🙏🙏