Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,491
- 100,888
Nadhani hakuna tatizo, akikuomba si ameomba tu kama mtu mwingine yoyote??
Fanya kama hivi.MPE hela kama unazo ila usimuombe uchi wake, Kama alishawahi kujupa kabala hajaolewa inatosha waache waangaike na maisha yao,huenda kuna mahali hawajakaa Sawa na wewe ni MTU pekee anayekuweza kumuomba pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mamaKama unayo mpe tu na Mungu atakubariki
Ukute jamaa kamtuma kweli mke wake akaombe hela kwa mabwana zake [emoji23][emoji23]Pengine wana shirikiana na jamaa ake kukuomba izo hela..[emoji81][emoji81][emoji81]
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Chukua huu ushauri mzur mkuu. Huu ushauri mzur sana huuMPE hela kama unazo ila usimuombe uchi wake, Kama alishawahi kujupa kabala hajaolewa inatosha waache waangaike na maisha yao,huenda kuna mahali hawajakaa Sawa na wewe ni MTU pekee anayekuweza kumuomba pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wale bodaboda wa buguruni wanavyowasubiri mademu zao wajiuze ili alfajiri wawarudishe magetoniUkute jamaa kamtuma kweli mke wake akaombe hela kwa mabwana zake [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app