Mke wa Mtu Kapakatwa

Uyu jamaa aliyembeba ni yule sita aliyemsifia anajua kuquote vifungu vya kuran na biblia, alimpa airtime siku ya mwisho kufunga bunge, af inaonesha huyu ndo alikua dem ake kipind chote cha bunge

We kweli upo makini, hicho ndo kile kijamaa kinachojua biblia na kuran vizuri, kwa style ile ya uongeaji wake huyo mwana mama asinge chomoka asee.
 

kwenye Blue nafikiri huyu anamweleza mwenzie kuwa " mshushe nami nimbebe bwana!
 
We kweli upo makini, hicho ndo kile kijamaa kinachojua biblia na kuran vizuri, kwa style ile ya uongeaji wake huyo mwana mama asinge chomoka asee.
inawezekana bibie alimfundisha Bibli wakati wa majamboz
 
Naomba kutoa nukuu kesi ya Asha mkwizu hauri v R. maneno ya mtuhumiwa
`Chebakie nikushoshorwa hena mzuti na kichaa.`
 
Hizi hijab na kukumbatiana au kushikana na mwanaume ambae si mumeo zinaleta picha gani?

Vazi la hijab halijatendewa haki hapo

Na ni kakuambia hiyo ni hijab? Hicho ni kilemba kama vile vya maSister wa parokia
 
tizama mkono ulivyozunguka halafu kifua cha mpakatwaji kimellalia wapi

mmmh!!! dizaini naona kama vile bichwa la muheshimiwa limeelekea kwenye kifua cha mpakatwaji...jamaa si ananyonya kabisa chakula cha mtoto pale...ila sio mbaya mwache anyonye ili atoe sumu za katiba yao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…