Mke wa Mtu Kapakatwa

naona kama kidole gumba kimezamishwa kwa 0713

Huyu mama (kwa mbali huenda akawa dr. nkya wa morogoro) aliye karibu na mwenye twende kilioni kama vile yuko concerned na kinachoendelea kiasi kwamba anamshtua jirani yake ili amweleze mbebaji kwamba anachofanya si sawa. Katika kundi la wendawazimu hakosekani mwenye afadhali siku zote.
 
Hizi hijab na kukumbatiana au kushikana na mwanaume ambae si mumeo zinaleta picha gani?

Vazi la hijab halijatendewa haki hapo
 
kwani ulifikiri yeye hata kama ni mke wa mtu ndio hana nyege za ghafla!!!?
 
una jicho kali sana huku wengine wako bize kuchukua kumbukumbu
 
Hizi hijab na kukumbatiana au kushikana na mwanaume ambae si mumeo zinaleta picha gani?

Vazi la hijab halijatendewa haki hapo

kupagawa in action
 
Mkuu Amavubi hapo sasa umemsaidia upelelezi, Mume wa huyo Mjumbe wa BMK kilichobaki ni kuchukua hatua ya talaka.
Yaani kuonyesha kuwa ana zaidi, tunavyomuona kunyanyua juu Mali za Watu, kule Bungeni kuna mafisadi kiwembe wa Wake za Watu.
 
Kama ni Ummy basi huyo amezoea kupakatwa kwani ni janvi la wageni wa ccm!!!!

Yaani Ummy katoka juzi kujifungua leo anapakatwa kweli kazi ipo Mume anapenda 50/50
 
Mkuu Amavubi hapo sasa umemsaidia upelelezi, Mume wa huyo Mjumbe wa BMK kilichobaki ni kuchukua hatua ya talaka.
Yaani kuonyesha kuwa ana zaidi, tunavyomuona kunyanyua juu Mali za Watu, kule Bungeni kuna mafisadi kiwembe wa Wake za Watu.
Mwenye mali atachukua hatua kama tu atakuwa sio mfuasi dhati wa nyinyiemu,chezea kulishwa weweee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…