Mke wa mtu kanipa maumivu ya moyo

Mke wa mtu kanipa maumivu ya moyo

Wakuu mmeamkaje??

Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.
iron finger acha upuuzi na hizo obsessions zako. Kaoe wako.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu huyu dada aliniahidi kwa kiapo kabisa kuwa atamuacha mumewe aje tuishi wote sasa mimi lazima nifight kwa kila hali moyo unaniuma na ninaamini nna haki zote maana kiumbe alichonacho tumboni me ndio baba hawezi kunidanganya wala kunidhulumu nimeaga kwetu

subiri nikuitie malawyer wakusaidie
Ruttashobolwa embu uje umsaidie huyu kijana.
Kha halafu kabisa na mkwara anauchimba nyoooo
 
kinachoniuma ni kiumbe changu ambacho wana kila dalili ya kunidhulumu
 
Last edited by a moderator:
kama hauko tayari kumpoteza basi jiandae kupotezwa na mume wa huyo mdada! chunga maisha yako kijana....mke wa mtu sumu!
 
Yani umeshajua ni mke wa mtu bado una lalamika hakupigii wala hapokei simu! Wewe ulimuoa?

Nadhani kinacho kuuma ni pesa anazo kupatia si mapenzi!

Nakushauri achana nae!

mkuu siwezi kumuacha kirahisi na pia tayari ana kiumbe changu tumboni mwake
 
Wakuu huyu dada aliniahidi kwa kiapo kabisa kuwa atamuacha mumewe aje tuishi wote sasa mimi lazima nifight kwa kila hali moyo unaniuma na ninaamini nna haki zote maana kiumbe alichonacho tumboni me ndio baba hawezi kunidanganya wala kunidhulumu nimeaga kwetu

mimba umebeba wewe au yeye? Sasa amebeba kiumbe chako afu unamuomba hela? Hahaha, hata mie independent woman ningekupiga chini. Huwezi kujitunza., utatunzaje mtoto? Hilo chaka la miiba!
 
Umariooo mbaya sana
kha unabembeleza kuhongwa
tena bila aibu unakuja kulia lia hapa
babu Asprin watu8 embu muje huku
mumshangae huyu mdogo wenu mariyooo
kwa taarifa yako mwenzio keshaopoa dogodogo mwingine aliyekuzidi viwango

Rabeka best....
Huyu ni kifaruhande tu kichwani hamnazo....
Hata sitachangia lolote nahofia BAN maana kaniudhiiii
 
Last edited by a moderator:
Wakuu huyu dada aliniahidi kwa kiapo kabisa kuwa atamuacha mumewe aje tuishi wote sasa mimi lazima nifight kwa kila hali moyo unaniuma na ninaamini nna haki zote maana kiumbe alichonacho tumboni me ndio baba hawezi kunidanganya wala kunidhulumu nimeaga kwetu

Mi nauza AK47 vipi itakufaa kwenye hilo tumbwili unalotaka kuanzaisha, kwa maongezi ya biashara piga 0785600800, hata vile vibomu vya mkononi pia nauza usisite kuweka oda pia.
 
Kukupa pesa haina maana alikuwa nakupenda,shida yake imesha isha,umeshatumika anasonga mbele,kwani si kuna wanaume nao wa design hiyo,anakupa hela tu na kukuonesha mapenzi coz kuna kitu anataka,akishakipata,anachapa lapa.
 
Wakuu mmeamkaje??

Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.

Kumbuka "mla huliwa" by JK!
 
Brother, Your common sense is not common!!....achana na mke wa mtu. Unataka kupambana na mume wake kwa lipi? Itabidi upate nasaha mapema.

Wakuu mmeamkaje??

Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.
 
Umepewa penzi,umepewa pesa bado huridhiki?Kama ulitumia vibaya pesa ndo imekula kwako.Huwa haijirudii,ikijirudia jua inakula kwako.
 
nna haki kaka maana tayari alishaingia makubaliano na mimi ya kumuacha mumewe
kwa iyo ww ndo chanzo cha kuvunja ndoa za watu,ivi nn maana ya ndoa,iz ndoa za siku iz hazifanan na neno lenyewe.,mkuu hapo huna haki,yan uharibu cha m2 ili kiwe chako
 
Ukikua utaacha maana iko siku Mkeo akimpenda dogo usijekasirika ndio MUNGU anapolipa hivyo
 
Nimepaona pale uliposema 'UTAIPIGANIA PENZI LENU'...sasa kila nikikusoma sioni 'guts' zinazokupa hiyo jeuri..lolz
Wewe upo sawa na watu wadhulumiane pesa ya bangi, afu mmoja amtishe mwenzie kuwa atamshtaki polisi!
Shame on you!...................
 
Wakuu huyu dada aliniahidi kwa kiapo kabisa kuwa atamuacha mumewe aje tuishi wote sasa mimi lazima nifight kwa kila hali moyo unaniuma na ninaamini nna haki zote maana kiumbe alichonacho tumboni me ndio baba hawezi kunidanganya wala kunidhulumu nimeaga kwetu

HAPO KWENYE MAANDISHI YA BLUE PANAHUSIKA SANA

Soma andiko hili hapa ili upate maarifa..

01 Wakorintho 07:01 - 02 inasema....
1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
 
Wakuu mmeamkaje??

Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.

Copy: Lara 1 and Cielo
 
Back
Top Bottom