Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Acha upuuzi na hizo obsessions zako. Kaoe wako.
We nawe kusoma hujui hata picha huelewi, aoe wake atamtunza na nini ye mwenyewe anasubiri vya kuhongwa
Acha upuuzi na hizo obsessions zako. Kaoe wako.
Wakuu mmeamkaje??
Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
.
.
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.
Dogo, angalia sana hapo kwenye red,
Unahusika ma mke wa mtu !! Unasema utapambana na mumewe !!
Sasa utapambanaje na mumewe ???
Hapo huna nafasi yoyote ikiwa mumewe yuko hai !! Nafasi yako ipo tu ikiwe mumewe atakuwa amefariki !!!
Upo hapo dogo mzinzi / mwizi wa mke wa mtu ???
Sasa, angalia andiko hili hapa chini....
01 Wakorintho 07:39 inasema....
39 Mwanamke hufungwa maadamu mumewe yu hai, lakini ikiwa mumewe amefariki, yu huru kuolewa na mtu ye yote amtakaye; katika Bwana tu.
vipi kuhusu damu yangu siwezi kuacha ipoteeeee
Wakuu mmeamkaje??
Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.
Wakuu mmeamkaje??
Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.
nunua KY mpya utembee nayo ili cku ukilawitiwa usiumie sana.