high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,937
- 2,168
hili ni pepo limetokea mtaaani hadi humu limefika
Likomkosa hilo basi asubiri kunasa uk*niSubiri kulawitiwa mkuu
mkuu siwezi kumuacha kirahisi na pia tayari ana kiumbe changu tumboni mwake
Wakuu huyu dada aliniahidi kwa kiapo kabisa kuwa atamuacha mumewe aje tuishi wote sasa mimi lazima nifight kwa kila hali moyo unaniuma na ninaamini nna haki zote maana kiumbe alichonacho tumboni me ndio baba hawezi kunidanganya wala kunidhulumu nimeaga kwetu
Wakuu mmeamkaje??
Jamani mwenzenu hivi karibuni nilimpata mdada mmoja mzuri sana kiukweli alinipenda sana na mie nilimpenda pia
mwanzoni sikujua ila baadae nilikuja kugundua kuwa ni mke wa mtu
alijitetea sana na kudai kuwa aliogopa kuniambia kwa hofu ya kunipoteza
alinisihi sana nisimuache na pia akaahidi kuwa yupo tayari kuishi na mumewe kwa kuwa na mie nilimpenda sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kula raha na dada huyu kwani anayajua mapenzi haswa na pia alikuwa akinisaidia sana kimaisha mpaka kufikia hatua ya kunipa mtaji wa biashara
lakini kwa muda mchache uliopita mwenzangu kabadilika sana nikimpigia simu hapokei na pia hana mapenzi na mimi tena hata nikimuomba pesa hanipi tena kama zamani
kusema ukweli naumia sana jamni hasa ninapokumbuka raha nilizopata kwake
ingawa ni mke wa mtu ila sipo tayari kumpoteza nataka nipiganie penzi letu lisife nipo tayari kwa mapambano na mumewe.