Mchango wangu ilikuwa ni matusi, bora nimtukane kimoyo moyo!
Huyo "rafiki yako" alikupa hizo details zote? Kweli you two are close!
I buy ur Ideal Michelle ila fahamu kwamba KOSA haliitwi KOSA mpk pale linapokamilika kuwa KOSA, kwaiyo jamaa wkt anafanya madudu na mke wa m2 alijua yuko sawa ila baada ya kukaa chini kutafakari na kuona roho inamsuta ndio akaja kwangu kunipa Movie kamili kisha mimi nikaona ni vyema niilete hapa kwa w2 wenye Fikra Pana waweze kutoa michango yao kwa namna moja au nyingine. Hope umenielewa...THnks kwa mchango wko mayne..
Kuna mtu anamsema mtu hapa...halafu kama namfahamu anayesemwa, hizo details alizotoa zina kaukweli fulani hivi!
Nakuona ka una kamashaka flani hiviii kwa jinsi jamaa alivyokuwa muwazi kwa rafiki yake.... AU WE NDO UMEAGA UNAENDA BAGAMOYO..??
Mchango wangu ilikuwa ni matusi, bora nimtukane kimoyo moyo!
Huyo "rafiki yako" alikupa hizo details zote? Kweli you two are close!
Aiseee?
Za maharage ya mbeya au za upartial impotency wa mumewe?
Interesting........
Hapana ni huyo Mwanamke amemuaga Mume wke amepata safari ya B'Moyo.
wake wa watu wengi ni ma loose balls
WA KISHUA mpelekee huyo rafiki yako huu ujumbe, aache kucheza na Mungu, Mungu ameshampa nafasi ya kutosha ya kujutia makosa yake, mwambie atubu vinginevyo hiyo safari ya Bagamoyo ndiyo mwisho wake. Nakuambia haya nikiwa na imani kubwa na amri ya Mungu dhidi ya zinaa na uzinifu
endelea tu usiache, utaona kitakachokutokea, hapo ndipo utakapojua kwamba mke wa mtu ni sumu.
Mkuu naona umeamua kuchukua tahadhari kuogopa mchango wa matusi na kejeli mapema, hongera.
Kwa upande wangu hata kama nitakuwa nafanya uzinifu na mwanamke yeyote yule yaani a single lady or married one hakika nitakuwa wa mwisho kumshauri mtu yeyote kutenda kama ninavyofanya, zinaa ni dhambi kubwa na mbaya zaidi na mke wa mtu jamani haikubaliki hata kidogo.
Matatizo kwenye ndoa yapo mengi kama uliyoyataja ya huyo dada na mume wake, lakini bado sio sababu ya msingi kwa mmoja wa wanandoa kumsaliti mwenzake. Jamani maadamu tatizo limetokea wakati ndoa ilikwisha fungwa tena yenye watoto wawili, kumbe jambo la msingi kwa huyo mama ilikuwa kumsaidia huyu mwenzake aondokane na matatizo yanayomkabili kwa sasa ili apate tiba na kurudi katika hari yake ya kawaida na waendelee kutenda kadri ya Mapenzi ya Mungu (tendo la ndoa ndani ya ndoa ambalo kwao ni takatifu). Huyu mama (maharage ya mbeya) amefanya kosa kuisailiti ndoa yake ambayo aliapa kuilinda katika shida na raha, arudi nyuma na kumsaidia mwenzake.
Na huyu kijana hakika amepotea pakubwa, anapoteza muda kwa kuwa na mahusiano na mke wa mtu, zinaa yoyote ni dhambi lakini angelikuwa anafanya na binti (single) tungesema ipo siku watatubu hiyo dhambi na kuingia kwenye ndoa takatifu na kuanza maisha yao yenye kumpendeza Mungu na jamii kwa ujumla. Mwambie aache, anapoteza muda wake, anakuza familia ya mtu mwingine, atakumbuka shuka kumekucha, atasahau hata kuoa aliye wake, ipo siku ataazibiwa vibaya sana hapa hapa duniani.
Na kwa huyu kiunganishi wao sio mzuri hata kidogo, anafanya biashara haramu ya kuuza mke wa mtu, anachangia kuvunja ndoa ya mtu ilihari yeye anaendelea na ndoa yake, haikubaliki hata kidogo. Ndoa na iheshiwe na watu wote jamani, na kwenye ndoa sio tendo la ndoa tu (ngono).
Pole, ila mwambie aache kwa manufaa yake binafsi na familia yake
Kosa linakamilika pale linapokuwa linaenda kufanywa mbali na pale lilipozoeleka kufanyika? Mimi na wewe tunakubaliana kuwa muhusika ametambua njia zake si sahihi mbali au karibu, anachopaswa kufanya ni kimoja tu,kuacha njia zake na kuishi anavyoelewa kwa sasa kuwa ni sahihi.
Sio Jamaa anaona WIVU ila huyo Mke wa m2 ameanza kumletea Wivu jamaa yangu..hope umenipata vzr..
Za mume sijui...najua za 'koligi'!
sa kama kamgegeda mara zote hizo anaogopa nini au kugegedea mbali ndo hataki???
halafu nilikumiss wewe......
Wacha kabisa kuchezea mke wa mtu na hiyo tripu ya bagamoyo itoe kwenye mawazo yako nadhani umenielewa.