Jamani sio kwamba hapa kuna mtego, huyu mama kweli kanipenda na jamaa hajui kitu, ni vizuri kunipa ushauri kuliko kunitisha jamani kitu cha ukweli kama msomali vile. Jamaa huwa akitoka anakaa mpaka wiki mbili hayupo vipi hapa si ninaweza kumaliza kabisa?

Hahahaahhaa hapa kweli dogo atulie tuwa kusoma wa kusoma...UtafiLWA WALAHI TENA...Mana naona watu wanajalibu kukuelewesha kimafumbo uelewi. .Kama ban ..Nipigwe tu
Ila hata hapa bd anaweza omba avunje ahadiungekuja kuomba ushauri kabla hamjapeana promise
Hahahahahaaaa hii eti ndo nimeinyaka leo jamaa kilaza ajeASEE VITOTO VYOTE
MTAANI HAVIUNA
HATA WANAUME,WE
UNAENDA DANDIA MY WIFE WA WENGINE?
ANYWAYZ UKILA NA WEWE
UTALIWA
SOURCE JK
andaa nepi
Ila hata hapa bd anaweza omba avunje ahadi
Jamani nimependana sana na mke wa mtu na tayari tumepeana promice na huyu mama kwakweli ananipenda sana the same to me, wanajf vipi hivi kweli nitembee naye au nimwache na kasema anatamani sn apate penzi langu.
Tatizo lako ulishaamua kula tunda na hapo utakuta ushazaa nae kabisa ndo ukaja kuomba ushauriJamani nashukuru kwa ushauri wenu lkn uamzi unabaki kwangu naahidi kutoa feedback hapahapa JF kama nitakuwa nimeachana naye au nikishado naye nitawaambia. Ngoja kama vipi niwe makini sn nile mara moja tu hlf nikate mawasiliano naye au mnaoje wakuu?
Hapa nilipo mawazo kibao sijui niamue lipi. Duh kama vp mi nakula mzigo mara moja tu hle naachana naye.