mke wa mtu ani pm

AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....( Mithali 6: 32-33)
Wanaume wengi hawana akili kabisa najua hata hapa wanasoma hii coment lakini hawaelewi....hii ndo sababu ya msingi.
( kwa wasomaji wa bibilia wanaujua sana huu mstari... sijui kama msaafu na wenyewe una hii reference)
 
JayK wanazini kupitia simu na pc zao tu,
 
Last edited by a moderator:
Slave nimekuja.... nimekuja... tupige madili hayo

poa baab.! Kuna mshua mmoja anatakiwa kupelekwa mabwepande fasta digalla kafika bei atatuacha na box tano pamoja na poda ya kukata nishai.!
 
Last edited by a moderator:
hayo madili ndio nayangojaga daily.... fasta fasta!

poa baab.! Kuna mshua mmoja anatakiwa kupelekwa mabwepande fasta digalla kafika bei atatuacha na box tano pamoja na poda ya kukata nishai.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…