Mke wa mtu anataka nizae nae

Arobaini yako inabisha hodi na dalili za kuikaribisha umeshazionesha! Unampenda mke wa mtu halafu unajisifu. Ajabu
 
Nimesoma sredi na ushauri wote ulioopewa,im going to sleep early in the mornin i will give u ma comments if u will be still alive!
 

I see kaka unakokwenda naona unakaribisha kilema,kifo au kitu kingine ambacho kitakuwa historia katika maisha yako wewe na huyo dada unajua siku jamaa atakapokukamata atafanya kitendo ambacho hujawahi kufanyiwa wala hutapenda kufanyiwa wala hutapenda watu wajue ulichofanyiwa lakini jiandae maana jamaa atafanya huku anachukua mkanda wa video na huo ndo utakuwa mwisho wako kukaa mjini.ACHAAAAAAAAAAAAAAA UTAKUFAA
 

Halafu nimesahau kukuambia kitu hapo mtaani kuna jamaa naye anajisifu hivyohivyo kuhusu mke wako wewe hujajua tu,na siku ukimjua utajidharau.
 
Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Iko siku mtafika hapa na kusema ''mama yangu mzazi ananitaka nimchakachue jamani....naombeni ushauri wadau''.

Akiri ni nywele mazee..changanya na za kwako
 

:bump: hizi sasa laana we una mke naye ana mume inakuwaje hii au ndo tukujudge kutokana na jina lako?:A S 109:
 
Huyu shetani hajipendi na maisha yake yapo hatarini!
 
wewe shetani unajizawadi ukimwi! achana kabisa na mke wa mtu! ridhika na mkeo!
 
Dont push me cause i'm close to tha edge...
 
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!! Kazi unayo Ndugu Take care.:A S-alert1:
 
ivi huwa tunawaza nini wakati mwingine kuna wakati kwenye maisha bila kuona makovu ya yale tunayofanya huwa hatujifunzi mimi nakuunga mkono kila la heri ngoja tuandae michango ya kukupumzisha
 
SHETANI ONE
Bold: kwa jina lako...sidhani kama kuna cha kushauriwa hapa... nyie endelezeni uzinzi tu!!
 
Mwambie huyo maana nilivyosoma tu juu nikaanza imba huo wimbo...mke wa mtu ni sumu. Mke wa mtu ni sumu. Mambo ya mapenzi na wake za watu huyu shetani abaki huko huko kuzimu

Nilifikiri unataka kusema wimbo wa Niagieni.
 
mm mm ati wamepima ikawa safi.....duh! na huyo mume wake naye unajua anachakachua wangapi??? hii ndiyo ile sexual network ambayo imemaliza wake na waume kwenye ndoa...u trust the woman,.....how do u trust the husband? mbona tutakwisha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…