Mke wa mtu anataka nizae nae

Mke wa mtu ni sumu, utakuja kukojoa dagaaaa, we chezea tu shilingi kwenye tundu la choo. Utajakatwa mapanga au kupigwa shaba. Acha mchezo huo mchafu!
Nadhani ingekuwa vyema kama hayo mapenzi ya kula pamoja breakfast, lunch na dinner ungeyafanya na mkeo nadhani ungehisi mwapendana pia, ila sbb umeamua kuyafanyia nje basi yanakutia upofu nawe waona mwapendana! USHAURI: hayo unayohisi ni mapenzi ni njia ya mauti inakupofusha na kuwafanyeni msione tatizo kutumia hata gari moja kutembelea amini nakuambia mwisho yatawatuma mkafanyie huo mchezo wenu nyumbani kwake na hapo ndipo utakuwa mwisho wako. Acha hii tabia please!
 
Toa kichefuchefu chako hapa weye baradhuli Mkubwa usiye na chembe ya soni! unadhani umepata...nakushauri anza kuandika wosia na kuchagua pa kukuzikia kwani hujabakiza siku nyingi...its a matter of time!
 
Imeandikwa wapi kuwa mke wa mtu ni sumu?

Je, kwa nyie baba wenye watoto una uhakika watoto unaowalea the so called "watoto wangu" ni wa kwako kweli"?

Kama mtu ametembea na mke wa mtu kwa miaka minne bila either part kujua then it implies kuwa upande wa pili unafanya the very same thing! mke wa mtoa mada anabanjuliwa kwingine na mume wa huyo mliwa anabanjua kwingine!

Ushauri: Kama mmeamua kuzaa pamoja, just go ahead, as simple as that!
 
Siku wakikupata watakutoa bikra ya ****** ( kama unayo) na wakimaliza utalazwa hospitali kutibu maumivu ya ya kuingiliwa na watu wanne kwa zamu:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Unaonaje mngewataarifu wenza wenu ili m-swap spouses? Pia, kama huyo mwanamke anataka mtoto wa kiume mwambie yeye na mumewe wapewe elimu ya kuchagua sex ya mtoto - kwa kifupi mumewe amcharaze siku ya 15 baada ya kuingia hedhi. Tatu, huo sio ustaarabu na wala sio maana ya ndoa. Nne, pamoja na kupima kwenu ukimwi uelewe kuwa umeongeza uwezekano wa kupata Ukimwi - halafu ukipata ukimwi utamlaumu JK anaposema ni 'kiherehere' chenu?
 

huwezi kuprove au disaprove hayo!!!...:teeth:
 

nimepata kinyaa.hizo sio sifa ati ni ujinga.
 
huwezi kuaprove au disaprove hayo!!!...:teeth:

Fab,

See below (quoted from post#1)

- baadhi ya ndugu zake wanajua
- tunatumia gari moja
- lazima tukatane kila siku for breakfast, lunch, a drink
- tayari tumeshakwenda pima
- tunapiga kavukavu

If all those "hypothesis" are true THEN my statement is true (right?)
 
nimepata kinyaa.hizo sio sifa ati ni ujinga.

FL1 - mtoa mada ametoa facts - plainly!

The damage has already been done! (right?)::: kwahiyo should he go further and kill the bull?
 


Mmmmhhh hiii point ya mwaka
 
fl1 - mtoa mada ametoa facts - plainly!

The damage has already been done! (right?)::: Kwahiyo should he go further and kill the bull?
ni kweli kama anakula amalize tuuu azae naye ili yatimie!
 
Utauwawa bure...mke wa mtu ni sumu (poison)...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
What is this world coming to these days? Why even bother to get married? Pure hokum!!
 
Nakaa Arusha ndyo. Na nimesha kuwa nae miaka kama mi nne hivi. Ushauri nilio omba ni kwamba nizae nae au la na siyo kuachana nae. Kuachana haiwezekani kabisa ni mpaka kifo kitutenganishe.
 
kutokana na maelezo unaendana na jina lako,acha hiyo kitu.
 
Kumbe mtu mwenyewe unaitwa SHETANI endelea na ushetani wako utakuja katwa hako kadude.
 
sisi tutakuja kuimba hivi .......
simbali....x2
karibu ....x2
tuafika na sisi huko .
mshahara wa dhambi ni mauti bali karama za mungu ni uzima wa milele/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…