Mama naomba unisaidie kumuelewesha huyu dogo , yani anategemea sie tukubaliane na upu.pu anaotema hapa .
wa kubwa shikhamoo,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,jamani naombeni ushauri ni fanya je? Jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina
Mkuu kumbuka anaweza kupoteza maisha kabla hata hajaposti humu ooohoooo mke wa mtu sumu ujueWakati wanaoana hakuyaona hayo ya safari za mume wake anakuja kuyaona baada ya kuingia kwenye ndoa
Au alikutana na huyo bwana siku ya kwanza na ya pili akaolewa bila hata ya kujua kuwa huyu bwana ana safari za kibiashara
Je aliwezaje kumvumilia wakati wa uchumba ila kwa sasa anashindwa kwa kuwa amekuona wewe
Jitose tuu na siku yakiharibika uje utuambie hapa hapa kuwa yule mume wa huyo mama kakufanyia nini
Una kiwanda cha kugawa mimba eh? Unataka tukushauri nini kuhusu mke wa mtu?
kwanza kakuona cheap sana ndio maana anajua kuiteka akil yako na chips tuu
Nimefanya nini tena Malkia?My King jamani.........
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina
kwa mbaaaaliiiii..........naona jamaa siku ya tukio akija na washikaji kama wanne hivi walioshiba na wasioshindia chips kama unazoletewa na wenye kusimamisha nyuzi 270.....sijui kama utapona rear....boot dem openaaaap....natumia simu mnisamehe ,,,mke wa jamaa akaendelea kunielezea ,,kuwa jamaa kwa mwezi huwa alala ndani siku 1o akizidisha 12 na jamaa akija akili yote ina waza biashara ana weza aka ,,,do,,,namke wake mara moja tu napo kwa kubembelezwa,,,imefikia wakati mke wajamaa ame choka,,na tabia ya jamaa,akilalamika jamaa anasema sikuachii hela ,mke unaniachi ,jamaa sasa unalalamika nn,,jamaa ana shindwa kumsoma mke,,mke wake sasa amenikazani kinoma mchana ananiletea msosi nimechoka kukataa sasa nakula namahusiano ya kima penzi tulisha anza lla ninamawenge kweli ila yeye ananiambia ni siwe na hofu na anataka nimpe mimba,,nikimuliza je mme wako akijua,,anasema antamdanya kuwa ya kwake na wala hawezi kugundua,,jamani ni saidieni ni fanya je? kwa hili namapenzi kuanza naye alinilazisha kinoma mpaka akawa anatiahuruma,,nikaona kama kero,,basi nikakubali,,mm sija owa nipen ushauri wenu,
Ni huyu huyu leo hi hii tena kaja na hii.anawachoresha watu tu hum ndani
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-kubakwa-nataka-nimuache-nipeni-ushauri.html
Nimefanya nini tena Malkia?
Achaneni na huyu mtu. Kila siku analeta post znazojchanganya.kama unatumia computer fuatilieni post zake halafu mzianke hapa jamvini