Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina
Mke wa mtu ni Su...!!!wapo watu wanaopoteza maisha sababu ya wake za watu, Yaani wanawake wote hao huwaoni mkuu????kuna mwenzio alitobolewa macho na kuuwawa kisa mke wa mtu!So Acha kabisa,na takwimu zinasema Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume tafuta wako mwenyewe mkuu.
Am Out.