MKE WA MTU ANATAKA ,,,,NIMPE MIMBA,,.,pleas nipeni ushauri,

Hii .ni akili ya kushikiwa si maskhara, kijana ebu kuwa serious usilete mchezo na maisha na nyumba za watu. Yani wewe unashindwa kujua jema na baya mpaka uposti upu.pu humu ndani. Akili yako inakutuma kupost ukitegemea utapata support , ......... kijana behave hilo genge lako utakausha soon.
KAZI YA JF NINI,,, hivi unazani wabunge wote wana akili sawa ndomana kuna malumbano,na wewe una kaz yako jf yakutoa hoja zako hizo za 1cundu
 
Wewe nimegundua unataka tukuhalalishe kumpa mimba huyo mke wa mtu , haya kampe mimba tupo nyuma yako na full support.
 
natumia simu mnisamehe ,,,mke wa jamaa akaendelea kunielezea ,,kuwa jamaa kwa mwezi huwa alala ndani siku 1o akizidisha 12 na jamaa akija akili yote ina waza biashara ana weza aka ,,,do,,,namke wake mara moja tu napo kwa kubembelezwa,,,imefikia wakati mke wajamaa ame choka,,na tabia ya jamaa,akilalamika jamaa anasema sikuachii hela ,mke unaniachi ,jamaa sasa unalalamika nn,,jamaa ana shindwa kumsoma mke,,mke wake sasa amenikazani kinoma mchana ananiletea msosi nimechoka kukataa sasa nakula namahusiano ya kima penzi tulisha anza lla ninamawenge kweli ila yeye ananiambia ni siwe na hofu na anataka nimpe mimba,,nikimuliza je mme wako akijua,,anasema antamdanya kuwa ya kwake na wala hawezi kugundua,,jamani ni saidieni ni fanya je? kwa hili namapenzi kuanza naye alinilazisha kinoma mpaka akawa anatiahuruma,,nikaona kama kero,,basi nikakubali,,mm sija owa nipen ushauri wenu,

kweli umeshikiwa akili,huna akili ya kupambanua pumba na mchele hadi umri uliofikia au ndo mtoto wa Mlugo
 
natumia simu mnisamehe ,,,mke wa jamaa akaendelea kunielezea ,,kuwa jamaa kwa mwezi huwa alala ndani siku 1o akizidisha 12 na jamaa akija akili yote ina waza biashara ana weza aka ,,,do,,,namke wake mara moja tu napo kwa kubembelezwa,,,imefikia wakati mke wajamaa ame choka,,na tabia ya jamaa,akilalamika jamaa anasema sikuachii hela ,mke unaniachi ,jamaa sasa unalalamika nn,,jamaa ana shindwa kumsoma mke,,mke wake sasa amenikazani kinoma mchana ananiletea msosi nimechoka kukataa sasa nakula namahusiano ya kima penzi tulisha anza lla ninamawenge kweli ila yeye ananiambia ni siwe na hofu na anataka nimpe mimba,,nikimuliza je mme wako akijua,,anasema antamdanya kuwa ya kwake na wala hawezi kugundua,,jamani ni saidieni ni fanya je? kwa hili namapenzi kuanza naye alinilazisha kinoma mpaka akawa anatiahuruma,,nikaona kama kero,,basi nikakubali,,mm sija owa nipen ushauri wenu,

Kuna mwenzenu huko anataka kujiua kisa kadanganywa kuwa mtoto ni wake KUMBE SIE........

BE A MAN
 
KAZI YA JF NINI,,, hivi unazani wabunge wote wana akili sawa ndomana kuna malumbano,na wewe una kaz yako jf yakutoa hoja zako hizo za 1cundu

ni kuwatoa watu ujinga,kuwaelimisha walio tayari kuelimika n.k lakini wewe umezidi,,,,,,,,kwa maandishi yako umeshajihalalishia huo ufuska wako ila hapa umekuja kutusikilizia tutakwambia nini.:A S 39::A S 39::A S 39:
 
Huyu hataki kushaurika naona anataka kuhalalishiwa kuwa ampe mimba na aendelee na ufuska anaoufanya.....
 
Muosha uoshwa.. kula mke wa mtu na wewe uliwe!!!!!!!
 
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina

Mwanamke huyo ni malaya tu tena aliekubuhu, inakuwaje anashindwa kuvumilia wiki moja mpaka wiki mbili.Kama vipi si wawe wanaenda wote huko mnadani kama anaona hawezi kuhimili wiki mbili.Hao wanawake wa type hiyo siku jamaa akienda miezi miwili si ndiyo atakuta mimba tayari keshatungwa
 
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina
Mbona sioni sehemu alipoomba umpe Mimba?
 
kwani ww una maabara ya kupandikiza mimba kwa wake za watu?,,,,,,,,mkimbize haraka huyo na uvunje mawasiliano nae la sivyo usije kurudi hapa kuomba pesa za matibabu india.Wake za watu (sio wote)siku hizi break za staha zilishakatika siku nyingi wanawaka tamaa 24/7
hahaaaaa.…umenichekesha sana mkuu

..
 
natumia simu mnisamehe ,,,mke wa jamaa akaendelea kunielezea ,,kuwa jamaa kwa mwezi huwa alala ndani siku 1o akizidisha 12 na jamaa akija akili yote ina waza biashara ana weza aka ,,,do,,,namke wake mara moja tu napo kwa kubembelezwa,,,imefikia wakati mke wajamaa ame choka,,na tabia ya jamaa,akilalamika jamaa anasema sikuachii hela ,mke unaniachi ,jamaa sasa unalalamika nn,,jamaa ana shindwa kumsoma mke,,mke wake sasa amenikazani kinoma mchana ananiletea msosi nimechoka kukataa sasa nakula namahusiano ya kima penzi tulisha anza lla ninamawenge kweli ila yeye ananiambia ni siwe na hofu na anataka nimpe mimba,,nikimuliza je mme wako akijua,,anasema antamdanya kuwa ya kwake na wala hawezi kugundua,,jamani ni saidieni ni fanya je? kwa hili namapenzi kuanza naye alinilazisha kinoma mpaka akawa anatiahuruma,,nikaona kama kero,,basi nikakubali,,mm sija owa nipen ushauri wenu,
Andaa kaburi kabisa na wosia kwa ndugu zako kabla hujampa hiyo mimba.
 
"Ukitaka kula na wewe sharti uliwe"

By JK (President of URT)
 
Back
Top Bottom