MKE WA MTU ANATAKA ,,,,NIMPE MIMBA,,.,pleas nipeni ushauri,

MKE WA MTU ANATAKA ,,,,NIMPE MIMBA,,.,pleas nipeni ushauri,

kakota

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
266
Reaction score
59
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina
 
kwani ww una maabara ya kupandikiza mimba kwa wake za watu?,,,,,,,,mkimbize haraka huyo na uvunje mawasiliano nae la sivyo usije kurudi hapa kuomba pesa za matibabu india.Wake za watu (sio wote)siku hizi break za staha zilishakatika siku nyingi wanawaka tamaa 24/7
 
WA KUBWA SHIKHAMOO,, vijana kati,,,,mambo vip? ,,Jamani naombeni ushauri ni fanya je? jamaa mmoja ameoa mke amekanae kama miezi 4 ,ila jamaa nyumbani hakaliki kutokana na biashara zake ,jamaa anaenda minadani hukaa wiki moja mpaka mbili hivyo mke hubaki peke yake,,ofisin kwangu nikaribu na nyumban kwake kwa huyo jamaa,basi mke wajamaa , alikuwa na mazoea ya kupita ofisin kwang alipokuwa anaenda sokon na baadhi ya mahitaji alikuwa ana nunua kwangu basi tukazoeana kama mteja tu ,,baadhi ya siku akawa anakuja ana piga stori kidogo ana ondoka mazoe ya kazid siku moja akani letea chips nikakataa akasema shem chukua tu wala usihofu basi nika chukua ,,, siku nyingine akaja ofisi akani kuta na mteja mwingine ni kamuliza ni kusaidie ,akasema hapana na kuja badae basi akaniacha na mteja ,,,mida ya saa kumi na moja akaja akasema leo nime kuja kupiga stori tu ,nika mwambia karibu,,basi aka anza kuni simulia aliko toka ,jinsi anavyo ishi na mme wake ,,,yaani shem mme wangu ana safiri kwa mwezi nyumban ana kaa siku,ina

Hii .ni akili ya kushikiwa si maskhara, kijana ebu kuwa serious usilete mchezo na maisha na nyumba za watu. Yani wewe unashindwa kujua jema na baya mpaka uposti upu.pu humu ndani. Akili yako inakutuma kupost ukitegemea utapata support , ......... kijana behave hilo genge lako utakausha soon.
 
Asilimia 50% ya wanaume wanalea watoto wasio wao.
 
.....Men very weak, umeletewa CHIPSY sitaki nataka UKALA, jiandae kutendwa
 
,..hahahaaa,kumbe na vitoto vya kiume navyo vyahongwa chipsi @!!!!
 
ina maana wewe una mimba nyingi sana unaona wa kuwapa ni wake za watu. wana miezi 4 tu kwenye ndoa nawe unaingilia honey moon?....kichwa chako kina matope. Huwezi hataka kuona hatari iliyo mbele yako?
 
heee chips hizo!!!! tupe bac huo muendelezo wa chips dume........
 
''nikaletewa chips'' ha ha ha jamani kweli kwa hiyo unataka umpe mimba kwani mume wake hana uwezo wa kumpa hiyo mimba mapenzi hayana siri mpe mimba aamie kwako na kifo kikufuate SI SAWA kabisa.
 
natumia simu mnisamehe ,,,mke wa jamaa akaendelea kunielezea ,,kuwa jamaa kwa mwezi huwa alala ndani siku 1o akizidisha 12 na jamaa akija akili yote ina waza biashara ana weza aka ,,,do,,,namke wake mara moja tu napo kwa kubembelezwa,,,imefikia wakati mke wajamaa ame choka,,na tabia ya jamaa,akilalamika jamaa anasema sikuachii hela ,mke unaniachi ,jamaa sasa unalalamika nn,,jamaa ana shindwa kumsoma mke,,mke wake sasa amenikazani kinoma mchana ananiletea msosi nimechoka kukataa sasa nakula namahusiano ya kima penzi tulisha anza lla ninamawenge kweli ila yeye ananiambia ni siwe na hofu na anataka nimpe mimba,,nikimuliza je mme wako akijua,,anasema antamdanya kuwa ya kwake na wala hawezi kugundua,,jamani ni saidieni ni fanya je? kwa hili namapenzi kuanza naye alinilazisha kinoma mpaka akawa anatiahuruma,,nikaona kama kero,,basi nikakubali,,mm sija owa nipen ushauri wenu,
 
Imagine kama wewe ndio mume wa huyo dada halafu kabebeshwa mimba na mwanaume mwingine ungejisikiaje na hatua gani ungechukua. usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio, what goes around comes around.
 
Wakati wanaoana hakuyaona hayo ya safari za mume wake anakuja kuyaona baada ya kuingia kwenye ndoa
Au alikutana na huyo bwana siku ya kwanza na ya pili akaolewa bila hata ya kujua kuwa huyu bwana ana safari za kibiashara
Je aliwezaje kumvumilia wakati wa uchumba ila kwa sasa anashindwa kwa kuwa amekuona wewe
Jitose tuu na siku yakiharibika uje utuambie hapa hapa kuwa yule mume wa huyo mama kakufanyia nini
 
Una kiwanda cha kugawa mimba eh? Unataka tukushauri nini kuhusu mke wa mtu?

kwanza kakuona cheap sana ndio maana anajua kuiteka akil yako na chips tuu
 
Back
Top Bottom