Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
Mkuu hiyo avatar ni wewe? Uko gymSoon na ww utakua mke wa mtu
MKIRIMU TU SHAKA ONDOA......!!!Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
Basi pole mkuu ila muepuke huyo mke wa mtu
Sasa cha ajabu kitu gani? Si kataka mwenyewe. Piga kaziKama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
DuhWanaume wengi ni maharage ya mbeya, ukimtazama sekunde 10 tu kashasimamisha...unafanya kumalizia tu