Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Kama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
Haya mambo vijana mnaweza kuyamaliza bila hata kuyamwaga hapa,mbona mambo madogo sana haya?
Aiseee.
Maamuzi yanawashinda kabisa?Yaani mke wa mtu anakutaka unakosa la kuamua hadi kuitangazia DUNIA?
 
Mkuu ushauri wangu ni kwamba wewe mkubalie ila lazima muwekeane mipaka. Mimi wanawake nawaelewa sana. Wanaume siku hizi hawapigi kazi. Mimi nimewahi kuwa kwenye uhusiano na mke wa kibopa fulani. Mama alilalamika mmewe ana kisukari hivyo kazi hapi vizuri, nilimuelewa na kumhudumia. Yale mahaba yalikuwa matamu sana. Sikuwahi kupewa penzi kama lile tokea nizaliwe. Mwanamama mwenyewe pia ni member humu.
Duuh mkuu umeyisha.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Basi jiandae na kumkirimu mumewe na washkaji atakaokuja nao kukupa hi atakapogundua.
 
Acha kabisa kutafuta matatizo ya mke wa mtu, mwambie kwamba Dini yako haikuruhusu kufanya hivyo.
 
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?

Hivi ikitokea njemba ikakuomba uwemba/ tiGO, je utaikubalia kwa kuwa wewe ni mkarimu?
 
Mshana jr njoo na Picha yako ile ya Mke wa Mtu ni Sumu aone huyu..................!!!!
 
Kama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
R.I.P Al assad
 
Back
Top Bottom