Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,517
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa ushauri, nitaufanyia kazi!Eti mkarimu...usithubutu kuingilia ndoa ya watu hata kama kaanza yeye.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri, nitaufanyia kazi!Eti mkarimu...usithubutu kuingilia ndoa ya watu hata kama kaanza yeye.
Nitajaribu!ACHANA NA MKE WA MTU KABISA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aisee! Kweli!Aisee utaumia vibaya mno. Mke wa mtu ni wa mtu. Zaid hapo matatengeneza mahusiano haram yasiyokuwa na faida mbeleni.
Mwisho wake ni kufumaniwa
Aisee!Nenda tu kamridhishe ila usisahau kwenda na vimafuta kidogo hata vya rays ili mwenye mke naye akitaka umridhishe usiumie sana
Mjulishe mumewe,ndio dawa ya wasaliti.Kama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
Mh mkûu maneno makali hayo!Andaa rinda lako na KY ndio itapendeza zaidi
Nitajaribu mkuu maana...kama wewe ni mkarimu kweli hata usingetuuliza. ungeongea nae kwa ukarimu umwambie haiwezeekani.
Kumbe, ...Jiandae pia kuliwa maana ukitaka kula lazima uliwe either directly or indirectly
Ahh mkuu,lugha kali hiyo. Toa ushauri.hizo expansion joint watakusaidia kuzi-expand
Yaah inatokea mkuu!hvi ni kweli wake za watu wanatongozaga kweli? kwamba wenyewe hawatongozwi? duh
Kweli ehh ila umeandika kifasihi zaidi but nimekupata.ulipewa bure katoe bure…. ila koleza haswa kayataka mwenywe!
Mimi ni mwanaume wa kazi ,nitafanya hivyo!Kuna vitu vina changamoto kubwa ya maisha ya vijana.
Ni vyema kuviepuka ili uwe na mwisho mzuri.
Hili si jambo la kuleta hapa.
Tumia mbinu zako zote umkatae na umkatishe tamaa kabisa.
Ww si imesha sema mke wa mtu?kimbia hiyo dhambi kwa miguu yako yote mi wili.ikiwezekana ongezea na mikononkm speed ni ndogoKama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
Yaah mkuu ,kumbe una kauzoefu!Wanapenda kukubali haraka ukimgusia mambo hayo, ataanza kumwaga mambo yote ya ndoa yake huku akilalamika.
Huo ndio udhaifu wao mkubwa