Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,768
- 126,690
Wanapenda kukubali haraka ukimgusia mambo hayo, ataanza kumwaga mambo yote ya ndoa yake huku akilalamika.hvi ni kweli wake za watu wanatongozaga kweli? kwamba wenyewe hawatongozwi? duh
Huo ndio udhaifu wao mkubwa