Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
Kumbe kuomba ushauri humu unaweza kupata ushauri mzuri tuu wakati fulani naona watu mnamshauri vizuri tuu. Nawapongeza wote mliotoa ushauri mzuri. Mimi simpi ushauri kwa kuwa huyu jamaa ni mvivu wa kutumia elimu yake amesoma professional ethics na moral philosophy bado anakuja hapa kuomba ushauri kwa suala ambalo watu walipaswa kuomba ushauri kwake. Usitake kujua nimejuaje yeye anajua hilo.
 
Mhh kaka mkubwa...nimekupata mkuu!
 
Mkuu kuwa makin na malinda yako chunga sana siku ukigundulika itakua rip marinda ,,ila waga niwatamu balaa ila uchungu wao utaujua siku umedabwa nae yaan kuchaniwa linda kupo njenje au kupigwa PR ni kawaida so kabla huja mgegeda nawe jiandae kifikra kwamba ipo siku utachaniwa malinda
Maybe i can do once ,no more...
 
Acheni kumtisha mwenzenu Nuru wangu mwenyewe alikuwa mke wa mtu mwenye watoto wawili ndani ya ndo, mbona nili-manage kuwa naye bila mume wake kujua hadi walipoachana kwa ugomvi wao mwingine kabisa ndo nikamuoa mazima na mimba juu.
Good mkuu, wazo lako liko positive and constructive .thanks!
 
Siku hizi kuna biashara ya kutajirika kupitia wanadamu kwa mitindo tofauti.

Baadhi ya wanawake hutumwa na waume zao ili ung'olewe figo watu wapige maisha.

Au katumwa aje kukulisha kitu baada ya muda Fulani unakufa uwekwe zombie chumbani.

Au unatafutwa na mtu au watu usio wajua wapate sababu ya kukumaliza.

Au umechaguliwa kafara hivyo unatafutiwa sababu kiakili ili kafara lipite.

Au una madini yaliyo gundulika mwilini mwako hivyo huyo mwanamke ni chambo uuwawe.

Watu wengi wamekuwa wakiingia kwenye mitego hii kumbe hawajui lengo lililojificha hatimae watu wanapiga hela kirahisi
 
Umeshasema mke wa mtu halafu unatafuta ushauri tena? Waswahili wanasema THE ROAD TO HELL IS ALWAYS PAVED WITH GOOD INTENTION, sasa wewe endelea na ukarimu wako.
 
Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
Usijaribu, badae utajuta mkuu, unaweza sema wacha nioneshe ukidume lakin mkazo wa kimawazo utakaopata baada ya kujulikana utaona mjini kama kuzimu
 
Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimridhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mimi ni mkarimu?
Usimkubalie
 
Kimbia!  
Wafanyabiashara tunatembea na[emoji379] [emoji379] [emoji379] Mke anauma.
 
Back
Top Bottom