Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Mke wa mtu anataka mahusiano na mimi

Sio ethical dilemma, hakuna ethical dilemma kuna moral dilemma. Kasome tena
 
Kama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
Halafu wananchi wanashangaa maiti kuokotwa Coco beach.
 
Kama title inavyosema kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.

Kaniambia kuwa ananipenda sasa nipo njia panda (ethical dilemma) niende nae ili nimlidhishe ama nimkatalie but nitamuumiza na mm ni mkalimu..!?
Panga nae mikakati jinsi ambavyo mtachepuka lakini kwa usalama zaidi
Lakini pia kumbuka zaidi kumkumbusha kumuheshimu mumewe na kutomdharau
Kuwahi nyumbani na vitu kama hivyo
Hawa wake za watu bana tatizo lao ukimnogea tu basi anamuona mumewe fala ndio hapo wanapokoseaga
Ndio maana mke akianza kuchepuka tu mume lazima ajue na hiyo familia lazima iwe na migogoro kila siku
Ndio hapo msela anaanza kutafuta chanzo
Ndio hapo anakutana na Al assad
Mzee baba unaweza chezea chululu hivihivi
take care!!! so poa
 
We endelea na ukarimu wako, ila kitakachokupata utafurahi. Achana na mke wa mtu, tena usithubutu
 
Back
Top Bottom