mke wa mtu ananipenda

Universal principal states of every action there is equal and opposite in direction, na kwa kila mtenda hutendwa na mpanda magugu huvuna miba na kila upandalo utavuna na kila ufanyalo jiweke kwenye kiatu cha mfanyiwa, na maisha yako unayatengeneza kila siku kwa matendo yako unayoandika juu ya nchi amabyo kamwe upepo na jua na kelele haziataacha kuzichoma na kupeperusha. KIFUPI KIMBIA MWAMBIE MIMI BWANA NAOTA KUWA NITAKAMATWA.
 
These kinds of stories are boring!

We are tired to death with wake za watu kupenda!

All of us know the consequences, please do not ask us again.
Be prepared to face the consequences, kwa maana jamaa akikuta na mkewe atakuchekea!
 
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...
Umewahi kupumuliwa kisogoni?Hiyo inaitwa kula uje uliwe.
 
Achana nae hafai huyo mke wa m2 sumu hafai kabisa jaribu kujenga picha cku ukimkuta mkeo yupo na jamaa alafu mke wako akwambie kwamba jamaa kafanana sana na wewe kwa hiyo uzalendo ulimshinda utjisikiaje
 
usijali, mume wa mtu atakapompenda mkeo ndo utajua ufanyeje khs huyo mwanamke, au unaweza kuwa nae tu mke wa mwenzio mpaka mwenye mali arudi awafume utajua tu cha kufanya...
 
Pumbatupu kama lilivyo jina lako. Yaani wewe mpaka hapo ulipofikia hujui madhara ya kutembea na mke wa mtu wala kutoka nje ya ndoa yako? Halafu eti anakwambia mumewe hatamaind akijua maana mnafanana na wewe ulivyo kilaza unakubali! Kawaulize mapacha kama wanakubali ku share wake,itakuwa wewe hata ujamaa hamna!
 
Pumbatupu Samahani mi sijaelewa sehemu moja! unayefanya nae kazi ni huyo mke wa mtu au mme wake?

Na kama ni mme wake yeye mnakuta wapi hadi kujadili mambo kama hayo? na je Jamaa akirudi nampo ofisi moja huoni kuwa anaweza kujuwa itakuwaje?

Any way mapenzi ni mapenzi na zinaa ni zinaa haijalishi ni mke wa mtu au si mke; mi binafsi sikubaliani na huu mtindo wa JF kuwa dhambi ni kwa mke wa mtu tu! lakini pengine ruksa! sikubali kama ruksa na iwe ruksa kweli kweli, kama uzinzi na zinaa ni mbaya na iwe mbaya kwa kila zinaa na kwa kila uzinzi siyo kwa mke wa mtu.

Kama wewe ni mzinzi na umezoe husijali swaga kila anayepita mbele yako wala husisumbuke kuchangua eti huyo mtu mke mtu huyu siyo, maana zote ni dhambi. Kama hutamla huyo na husifanye aina yoyote ya uzinzi na zinaa nawala husijaribu kutembe nje ya ndoa yako milele.
 
Wewe mfanye mke wa mwenzio na wa kwako atafanywa na wanaume wenzio, kwani hapo si utakuwa umesaidiwa na wewe pia??????????????japo haupo masomoni, ..........mbafu.
 
Zambi nyingine nizakukimbia kwa miguu yako miwili usilingojee hilo balaa likakukumba
 
angalia watu wanakunyima uhondo...
wewe chapa huyo dem mpaka hapo itafika mwisho wake....usisahau soksi....
 
Sijawahi kuamini utetezi wa ooh eti mimi ni mume wa mtu au wewe ni mke wa mtu so siwezi kuwa nawe. What if aka-mfire mume wake halafu akaja akwambia amesha mpiga chini utamchukua.

Ukifanya utetezi eti una mke, si unamfanya atafute mbinu ya kukugombanisha na mkeo muachane halafu aje sasa akwambie you are free .. so?

Jamani mimi awe mke wa mtu au demu wa kawaida akiniambia amenipenda mimi nampa ukweli kwamba sina feeling kabisa nae ... namwambia hata ningekua sijaoa yeye asingekua na nafasi. Kwa kufanya hivyo atachukia sana na hatakusumbua kabisa maana wanawake wanapenda kusifiwa. Usiendekeze kuchekacheka nae, halafu useme unashindwa kumchomoka ... mpe ukweli aende zake.
 
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. .

Something Terrible Wrong Somewhere...... Hivi wewe sio huyu
shida ya mijitu humu JF inapima maji ya mto kwa miguu, ncha ya mkuki hagongwi konzi bwana...aya mie mwanamke unatka kusemaje??

Wakuu tusipende kudanganyana mchana mchana (insulting people intelligence) basi hata ukitunga uongo tunga story ambayo huwezi kushikwa
 
Kama amesema unafanana na mumewe je wana mtoto?

Kama hana basi anataka umzalishe mtoto wako as at the end of the day atafanana na mumewe

Na wewe pia fikiria virusi etc. Usije muua mkeo na ukimwi

Pia wakija kukulia mkeo usishangae,
Ndio nyie mnalala na wasichana wanaosaidia wake zenu kwa tamaaaaaaa
Jiheshimu
 
Siajabu mumewe ni member JF na anafuatilia sredi kwa umahiri mkubwa. Haya wale mnaosoma nje ya nchi na mmeacha wake zenu Tz kuna jamaa anataka kutoa msaada hapa. Kazi kwenu.
 
allah sub-hanna -hu wataala .kasema ktk suratul ,n-nur aya 26 bad statements for are for a bad people ,and bad people for a bad statements , or bad men for a bad women ,and good women for a good men,, thats mean ,, kua ukiwa mdhinifu utakua na yule mdhnifu mwenzio ,na ukimdhinia mtu basi iko siku nawewe utadhiniwa ,,chochote kibaya ata kma ulikua unajificha watu hawakuoni but kita kua nje tu ,japo kwa kizazi chako ,so becarefull bro ,.ihope utaelewa ,,,inshaallah
 
Ukute na mume wa huyo dada huko masomoni hajatulia wala nini. Hapo tunasema bila bila. Si tunawaona wanaume wanaokuwa mbali na wake zao wanavyo behave
 
Back
Top Bottom