Mke wa mtu ameniponza

Mke wa mtu ameniponza

Hakuna binadamu mwenye lawama mbaya kulio wote duniani kama "pombe"
 

Pole sana, Ila Unavuna Ulichopanda Maana Unajua Mshahara wa Dhambi Ni Mauti.
Pomb inasingiziwa tu, uliyafanya hayo yote ukijua unalolifanya.
Tubu kwa Mungu na Tubu kwa Uliowakosea wote, ili upate amani ya Kweli Ndani yako
 
Ushauri wangu kabla ya yote kwa Wewe mseminary na ushamba wako wa mapenzi nakushauri Nenda kapime Ukimwi maana unafanya ngono zembe hadi unazaa na wake za watu.
 
aiseee ww jamaa ni zaidi ya muuaji yaani hata adhabu ya kifo juu yako haitoshi.
ujue wengi huwa tunawalaum na kuwaona wanaotoaga adhabu na kuwafanyia mambo ya ajabu wagoni wao huwa wanakosea.
hembu mliochangia woote na ww mleta uzi hembu tugeuke na tuwe upande wa pili wa huyu jamaa mwenye mke.
harafu ndio tutoe ushauri kama ungekuwa ndio ww ungemfanyaje au ungechukua hatua gani.kwa huyu jamaa aliyetembea na kuzaa na mke wa mtu??

maana hapo naona kama damu inanukia tena nyingi sana ya mke mtoto na ww uliyetembea na mke wa mtu.

huyo mwqnqmkw ya mtu anaonekana ana asili ya umalaya sana ndio maana jamaa yake alikiwa anampekwnyua sana
 
mathew chance usimuogope mwanaume mwenzio we pambana mpk mwisho tena akija we muite huyo mke wake mbele yake kisha umuulize anataka kwenda kwa nani

Mkuu km ishu anayosema jamaa nikweli kwa ushauri unaompa siamini km utamfaa...kumbuka huyo no bwana mdogo..mwenye mke ni MTU mzima cdhani km dogo atakuwa na ujacri huo
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nikupe pole ikiwa hii Stori niyakweli...ishu km hiyo iliwahi kumkuta jamaa mmoja ila yy hakuwa MKE alifanya hivyo na mtt wa pekee kwenye hiyo Familia...nailikuwa Familia ya majambazi....its Loong stor...ushauri wangu achana name Siasa za humu kwamba cjui uende polis au wapi...Tafuta njia mBadala hilo ni tatizo name Mbaya sana km huyo MTU anaPESA....ogopa sana niPM nikupe njia fasta
 
Hivi mwanamke na akili zako uko busy kumfungulia mumeo ili akukague kama umefanywa! Hawa wanaume pia wanaangalia mtu wa kumfanyia huo utumbo.
Alipokua anamnyanyasa mkewe alitegemea itasaidia kujenga awe msafi? Sasa ndio ajue kumpiga mwanamke au kumkagua sio solution ya kutozini. Sasa kaletewa na mtoto asie wake ampokee kwa moyo mmoja.
Na wewe muathirika tabia ya kusingizia pombe uache. Kila jambo baya kama si shetani atasingiziwa, basi pombe.
Hapo ninachokiona ni kumchukulia RB huyo bwana aache vitisho. Angekua anajua thamani ya mke haya yote yasingemkuta.
 
Aisee inabidi tu ukimbie mji, mana hamna namna nyingne sasa
 
Tatizo huyo mtoto ndo anafanya asikusahau. Kama ungekula bila kutia mimba isingekuwa issue sana.

Kwa kweli usaliti katika ndoa kwa nyakati hizi upo juu sana kupita kiasi. Ukiacha sababu nyinginezo, kitendo cha ndoa nyingi kufungwa bila kuwa na upendo wa dhati kwa wanandoa ndo chanzo kikubwa cha usaliti.

Bila kuuma maneno, kamwe huwezi kumsaliti unayempenda, ukisaliti ujue kuna walakini.
 
Mkuu kwenye mapenz hakuna MTU alie IMARA

hao waseminary ni shida, wakiona K wanakuwa kama mbwa mbele ya chatu. Full kujisogeza bila kujua hatari itayomkuta. Akili ikitawaliwa na usemi kuwa kwenye mapeniz hakuna aliye imara, ujue hadi mifugo kama kuku, bata mbwa na wanyama pori wote wamekuzidi akili.
 
hao waseminary ni shida, wakiona K wanakuwa kama mbwa mbele ya chatu. Full kujisogeza bila kujua hatari itayomkuta. Akili ikitawaliwa na usemi kuwa kwenye mapeniz hakuna aliye imara, ujue hadi mifugo kama kuku, bata mbwa na wanyama pori wote wamekuzidi akili.

Kwa wanyama hakuna mapenz.....Tunazungumzia maana halisi ya mapenzi....ukweli sote tuwajinga kwenye mapenzi sema tunatofautina style...Unaweza kumuona huyu ndg niwahovyo lkn cku ukimwaga Stori yako unaweza.....naww mapungufu...yako kwenye hilo eneo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom