Mke wa mtu ameniponza

Mke wa mtu ameniponza

Mkuuuu tafutaa mzeee kama yeye umwambie story nzimaaa then amtafute huge bba aongeee nae kiutuzimaaaa
Wewe nikijana nakwaidi tambua kuna wazee wengine hawapendi kabsaaa kukaaanakuongea na vijanaaa…
 
Me ninachokiona hapo ni kuwa huyo jamaa siyo mtendaji,kwa wale wenye maamuzi magumu huwa hawapigi kelele nakuleta rundo la vitisho,wao wanatoa kauli moja tu halafu utekelezaji wake nikukutenganisha kichwa wewe,huyo mwanamke na huyo mtoto aliyechomekewa...huyo jamaa hana madhara wala hana maamuzi magumu,ubabe wake unaishia kwa wanawake,lakini pia ninachokiona ambacho wewe mseminary hukioni ni kuwa maumivu ambayo huyo jamaa umempa wewe utakuja kuyapata zaidi.
 
Duuh hiyo ni game nzito, lazima uchezee LIBORO FC!!!
 
unaongea nn ww mwehu !yaan ausikii nikikupata lazima nile mzigo nikotoe bikra hiyo .sii umeona raha kunigongea mke wangu. sasa nishawa pata mateja kama 5 hiv kila bao moja 50 elfu
 
Adhabu Ya Kumla Mke Wa Mtu Ni Wewe Kuliwa 071 Kwa Uswahilini,so Kama Vp Ni Bora Ukasepa Mapemaaa!
 
Hiyo simu uliyopigiwa haikuwa ya yule mume mwenzako bali ni ya mtu tu aliyepewa jukumu la kukupa fukuzo kutoka kwa huyo mwanamke aliyekusitiri. Aliemtuma huyo mtu akupigie ni huyohuyo mwanamke wa pili.

Amekuchoka.
Pia wameshaelewana na shogake ambaye ni yule mke wa MTU.

Aliyemleta yule mke wa MTU hapo ulipokuwa unaishi ni huyo mwanamke wako wa pili.

Hakuna mtu anayekutafuta sijui kazini wala wapi.
Piga kazi ukomae na jiji.

Kwa kifupi yule mwanamke wa a wali anaishi vizuri na mumewe, ila huyo wa pili keshampata mwingine akaamua akuteme kimtindo.

SHTUKA.
 
Mmh aiseee unaeza ukawa T B Joshua
 
Ulikuwa una gari wakati unasoma chuo..... umegraduate hata pesa ya kuandikia barua za maombi ya kazi huna!!!
 
Mtoto wa kiume nenda jimu jieunze ngumi kdogo ili huyo boya asikutishe then msubiri siku akileta tifu mpe za chembe afu mchukue na mkewe endelea kuwagonga wote
 
Mkuu...itasaidiaje kuondoa tatizo....sababu..Jamaa ameshazaa nae na mwenye mke ameshtukia

Hata kama kazaa naye lakini sio mkewe huyo...

Kuendelea kumzengea ni kuendelea kumtia hasira zaidi mwenye mali...
 
pili naomba kuuliza wadau, mm sijawqh kunywa pombe toka nizaliwe, sasa kama ukinywa pombe unapoteza network yan unayembea njian hujijui..hadi unaingia ndan kwa mtu hujijui....unavua nguo hujijui.....unapanda bed hujijui....unalalla bila kujua....unadate na mtu bila kujua, ila asbh ukiamka ndo unajua yote haya.!!!!
daaaah maana kila mtu humu naona thread yake ni pombe kushtuka asbh, pombe kushtuka asbh...
NAAMINI POMBE INAWAPELEKAGA AHELA MNASAVEY KISHA MNARUDI DUNIANI ASEEE, MAANA KAMA YOTE HAYA YANAFANYIKA MTU HUJIJUI DAAAAH NGOJA NIJE NAMI NITEST ILI NISIJUE KINACHOENDELEA DUNIANI KWA MASAA 12 CONSECUTIVE.

Hahhahahahahahahh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom