Mke wa mtu ameniponza

Mke wa mtu ameniponza

ebwana eeeh andaa vaseline kabisa
Sasa Tanzania ina utajiri gani mkuu ?, huo ndiyo ukweli sisi Tanzania ni maskini ndiyo akina Dangote wanakuja kuekeza huku mana hakuna mtanzania mwenye pesa za kujenga kiwanda cha saruji pamoja na bandari, ni maskini ya kutupwa watanzania wote ila ni matajiri wa kutoa laana, kila kitu utaskia laana hii
 
nipo my dear..salama lkn?
Salama tu wangu, kitambo sana hatuja wasiliana ngoja nikufuate inbox niache nafasi hapa watu waendelee kumpa ushauri jamaa yangu maana haya majanga yanaweza kumpata mwanaume yoyote aliye rijali, wanawake wa siku hizi atakwambia sijaolewa ili umkubali kiulaini na mwisho wa siku yanatokea kama haya, utajuta kuzaliwa
 
Wakuu habari zenu,

Nimeona wengi wanakuja hapa kwa ushauri na wanafanikwa nami nimeona niseme langu naweza pata ufumbuzi. Wakuu nilikuja Dar kwa mara ya kwanza kujiunga na chuo sikua nimefika kabla ya hapo
mwezi mmoja tangu tuanze chuo dada mmoja aliniomba tuwe group moja la discussion
baada ya kuona uwezo wangu class

Baadae tulianza kushangaa huyu dada anakuja amevimba uso wakati mwingine na bandage mkononi akawa anaficha Mara asema alianguka bafuni na kadhalika. Siku moja tukiwa tunasoma wawili tu na tukiwa tumeshazoeana sana akaniambia ukweli kuwa huwa anapigwa sana na mumewe.

Kila akirudi home anakaguliwa kufuli alilovaa kama lina uchafu wa mwanaume, hata kufuli likikutwa na mabaki ya mkojo au ute umeganda pale basi atapigwa vibaya sana. Yaani akawa na maisha ya frustration ile mbaya, Mimi nikawa karibu yake wakati wote kwa faraja na kushauri.

One day aliniomba twende Ununio Beach tukashangae maji Jumapili moja hivi mumewe akiwa safarini
Tukiwa hapo hatukushuka garini tuliagiza pombe tukawa tunanywea garini ilipofika jioni tukawa hoi kwa pombe na giza lilishaingia tukajikuta na peana denda na beach yenyewe bado ni mpya ina vichaka akaingiza gari kichakani tukaamia kiti cha nyuma na tukajikuta tumezini.

Ilikua ni mara yangu ya kwanza kuzini nilisoma Seminari na baadae upadri nilipomaliza mwaka kwenye masomo ya Upadri baba alikuja kunipa good news kuwa nimepata scholarship kutoka shirika moja hivi, natakiwa kuja Dar kuanza chuo, nikapiga chini upadri ndio nikaja Dar es salaam.

Ikawa kila siku ndio mchezo wetu alikua anaogopa kuingia nyumba za wageni.Mwaka wa mwisho akabeba mimba yangu ila alimsakizia mumewe. Infact alifanya mtihani wa mwisho na tumbo kubwa tu,
mwisho wa mwaka December tuka graduate akiwa na mtoto mchanga.

Mwaka uliofuata nikawa nipo mtaani doro sina kazi wala nini. Nikashangaa yule mpenzi wangu amekata mawasiliano ghafla, hadi wiki inaisha kimya.Nikimpigia mimi hapokei baadae namba haipatikani kabisa.
Siku moja akanipigia simu kwa namba nyingine akasema mimi na yeye basi ameshaelewana na mumewe na wana amani na nisimfahamu tena wala kumtafuta niliumia sana moyoni nilikua nampenda sana
nilikaa gheto naugulia naumivu zaidi ya mwezi.

Alikuepo dada mwingine kwenye group yetu walikua marafiki wa kufa na kuzikana na huyu mke Wa mtu na alijua siri zetu na alishiriki shughuli zote za familia ya mpenzi wangu akawa amekuja gheto kuniuliza kulikoni kuna nini kimetokea kati yangu mpenzi wangu nikamweleza kila kitu.

Nikamwambia nina hali mbaya sana kifedha hata hela ya kuandika maombi ya kazi na kutuma sina na kodi imeisha nabembeleza tu kwa landlord. Akasema haina shida kwake ana vyumba viwili na sebule nitumie kimoja nikahama siku ile ile huyu rafiki mtu aliachika alikaa miaka mitano bila mtoto akaletewa zengwe akapewa talaka ni muislam yule mke wa mtu ni Christian. Rafiki mtu alikua anafanya hata tulipokua chuo so akanifanyia mpango nikapata kazi.

Siku moja tukaenda club tukarudi usiku sana nakuja kustuka asubuhi najikuta chumbani kwa huyu rafiki mtu tupo kama tulivyozaliwa kwenye shuka moja nadhani ilikua ni pombe ile tangu siku hiyo letu likawa ni moja tunapika na kupakua,asubuhi ananipitisha kazini jioni ananipitia.

Siku moja nipo bafuni naoga nikasikia watu wanaongea sebuleni nikatoka na taulo nakutana uso kwa uso na yule mke Wa mtu alistuka kwa mshangao na kuanzisha ugomvi pale akasema kumbe mimi ni malaya kiasi kile hadi natembea na rafiki yake wakapelekana nje huko wanazozana mi nikarudi room.

Usiku akaniandikia ujumbe akisema alikosea kuniacha kwamba mumewe hakubadilika aliendelea na tabia za awali za ulevi uliokithiri na kumkagua sehemu za siri kila siku. Hivyo amedhamiria kuachana nae mazima ndio alikua kwenye mchakato wa kunitafuta hata pale kwa rafiki alikuja kumuuliza kama anajua nilipo ndio akashangaa kunikuta pale. So anaomba turudiane yupo tayari kumkimbia jamaa ili tulee mtoto wetu wote.

Kwa kweli bado hajanitoka moyoni nikashindwa kumjibu na vitu alivyokua akinipa anamshinda huyu mrangi mbali tukumbu ile meseji ya whatsaap mumewe usiku akaiona demu alipigwa nusu ya kufa. Kesho yake akamfuata mwanamke wangu kazini kwake akamwambia jamaa yako anatembea na mke wangu nikimpata ataona mwambie hivyo.

Demu akanipigia simu akaniambia Leo tafuta gesti ulale kwa usalama wako. Baadae jamaa akanipigia mwenyewe akasema usalama wako ni kuhama Dar na kuwa atahakikisha anapajua kazini kwangu tupambane. Hivi sasa nakaa kazini huku nachungulia nje kila wakati nikimpigia simu jamaa ili nimwambie mimi sina tena uhusiano na mkewe hanisikilizi kabisa. Anasema nimethubutu kuzaa na mkewe na tumembambika mtoto halafu tutoroke.

Wakuu nipo njia panda, naishi kwa hofu mwanamke wangu anasema nisimuogope mwanaume mwenzangu nim face tu, anasema twende na yeye ataelezea historia nzima ya hill tatizo shida ni je iki fail? Hata hivyo nampenda yule mwingine kama si ndoa ningejua nae maana yeye tunalingana umri sema aliwahi kuolewa after form six, huyu rafiki mtu ananizidi karibu miaka mitano.

Nahitaji msaada wenu

pombe..........
vis uhame da..........
mdogo angu yupo nyumban walimsindikiza mpaka moro hao jamaa sio wazur bora bado yupo hii maana na kaz aliiacha tumempa bajaj anapigia dili tuu sasa....
tatizo umekua YONA kukimbia Mungu alikokuita ndo Papa anakumeza hivyo.....
 
Hahaha
Aiseeeh nyie wote Malaya tu.
Natamani hii dozi ya dawa ninayomeza iishe nianze zangu kunywa kikombe cha babu.
Maisha yenyewe mafupi halafu full stress.
We jiandae tu kuvunjiwa chelewa ndani ya mboo.
 
kutana na mwanaume mwenzio zungumza nae na wewe uwe mpole then huyo mwanamke kama hajapewa talaka acha hatakama unamtak bdo yan kesi yako c mchezo bora ungeendelea kuwa padri maana asali ukionja lazma utataka ziaid {just a joke} ukikimbia utaishi kwa mashaka sana
 
Kutembea na mke wa mtu ni kosa,ila kumzalisha mke wa mtu ni DHARAU
 
Dah njaa zingine mbaya sana ! wenzio tulikuwa tunakomaa unatembea kutoka Buza hadi posta na vyeti unasaka kazi ,na mademu tuliwakimbia wewe unalainishwa kilaini hivo .....subiri wakuchome moto !
Wakuu habari zenu,

Nimeona wengi wanakuja hapa kwa ushauri na wanafanikwa nami nimeona niseme langu naweza pata ufumbuzi. Wakuu nilikuja Dar kwa mara ya kwanza kujiunga na chuo sikua nimefika kabla ya hapo
mwezi mmoja tangu tuanze chuo dada mmoja aliniomba tuwe group moja la discussion
baada ya kuona uwezo wangu class

Baadae tulianza kushangaa huyu dada anakuja amevimba uso wakati mwingine na bandage mkononi akawa anaficha Mara asema alianguka bafuni na kadhalika. Siku moja tukiwa tunasoma wawili tu na tukiwa tumeshazoeana sana akaniambia ukweli kuwa huwa anapigwa sana na mumewe.

Kila akirudi home anakaguliwa kufuli alilovaa kama lina uchafu wa mwanaume, hata kufuli likikutwa na mabaki ya mkojo au ute umeganda pale basi atapigwa vibaya sana. Yaani akawa na maisha ya frustration ile mbaya, Mimi nikawa karibu yake wakati wote kwa faraja na kushauri.

One day aliniomba twende Ununio Beach tukashangae maji Jumapili moja hivi mumewe akiwa safarini
Tukiwa hapo hatukushuka garini tuliagiza pombe tukawa tunanywea garini ilipofika jioni tukawa hoi kwa pombe na giza lilishaingia tukajikuta na peana denda na beach yenyewe bado ni mpya ina vichaka akaingiza gari kichakani tukaamia kiti cha nyuma na tukajikuta tumezini.

Ilikua ni mara yangu ya kwanza kuzini nilisoma Seminari na baadae upadri nilipomaliza mwaka kwenye masomo ya Upadri baba alikuja kunipa good news kuwa nimepata scholarship kutoka shirika moja hivi, natakiwa kuja Dar kuanza chuo, nikapiga chini upadri ndio nikaja Dar es salaam.

Ikawa kila siku ndio mchezo wetu alikua anaogopa kuingia nyumba za wageni.Mwaka wa mwisho akabeba mimba yangu ila alimsakizia mumewe. Infact alifanya mtihani wa mwisho na tumbo kubwa tu,
mwisho wa mwaka December tuka graduate akiwa na mtoto mchanga.

Mwaka uliofuata nikawa nipo mtaani doro sina kazi wala nini. Nikashangaa yule mpenzi wangu amekata mawasiliano ghafla, hadi wiki inaisha kimya.Nikimpigia mimi hapokei baadae namba haipatikani kabisa.
Siku moja akanipigia simu kwa namba nyingine akasema mimi na yeye basi ameshaelewana na mumewe na wana amani na nisimfahamu tena wala kumtafuta niliumia sana moyoni nilikua nampenda sana
nilikaa gheto naugulia naumivu zaidi ya mwezi.

Alikuepo dada mwingine kwenye group yetu walikua marafiki wa kufa na kuzikana na huyu mke Wa mtu na alijua siri zetu na alishiriki shughuli zote za familia ya mpenzi wangu akawa amekuja gheto kuniuliza kulikoni kuna nini kimetokea kati yangu mpenzi wangu nikamweleza kila kitu.

Nikamwambia nina hali mbaya sana kifedha hata hela ya kuandika maombi ya kazi na kutuma sina na kodi imeisha nabembeleza tu kwa landlord. Akasema haina shida kwake ana vyumba viwili na sebule nitumie kimoja nikahama siku ile ile huyu rafiki mtu aliachika alikaa miaka mitano bila mtoto akaletewa zengwe akapewa talaka ni muislam yule mke wa mtu ni Christian. Rafiki mtu alikua anafanya hata tulipokua chuo so akanifanyia mpango nikapata kazi.

Siku moja tukaenda club tukarudi usiku sana nakuja kustuka asubuhi najikuta chumbani kwa huyu rafiki mtu tupo kama tulivyozaliwa kwenye shuka moja nadhani ilikua ni pombe ile tangu siku hiyo letu likawa ni moja tunapika na kupakua,asubuhi ananipitisha kazini jioni ananipitia.

Siku moja nipo bafuni naoga nikasikia watu wanaongea sebuleni nikatoka na taulo nakutana uso kwa uso na yule mke Wa mtu alistuka kwa mshangao na kuanzisha ugomvi pale akasema kumbe mimi ni malaya kiasi kile hadi natembea na rafiki yake wakapelekana nje huko wanazozana mi nikarudi room.

Usiku akaniandikia ujumbe akisema alikosea kuniacha kwamba mumewe hakubadilika aliendelea na tabia za awali za ulevi uliokithiri na kumkagua sehemu za siri kila siku. Hivyo amedhamiria kuachana nae mazima ndio alikua kwenye mchakato wa kunitafuta hata pale kwa rafiki alikuja kumuuliza kama anajua nilipo ndio akashangaa kunikuta pale. So anaomba turudiane yupo tayari kumkimbia jamaa ili tulee mtoto wetu wote.

Kwa kweli bado hajanitoka moyoni nikashindwa kumjibu na vitu alivyokua akinipa anamshinda huyu mrangi mbali tukumbu ile meseji ya whatsaap mumewe usiku akaiona demu alipigwa nusu ya kufa. Kesho yake akamfuata mwanamke wangu kazini kwake akamwambia jamaa yako anatembea na mke wangu nikimpata ataona mwambie hivyo.

Demu akanipigia simu akaniambia Leo tafuta gesti ulale kwa usalama wako. Baadae jamaa akanipigia mwenyewe akasema usalama wako ni kuhama Dar na kuwa atahakikisha anapajua kazini kwangu tupambane. Hivi sasa nakaa kazini huku nachungulia nje kila wakati nikimpigia simu jamaa ili nimwambie mimi sina tena uhusiano na mkewe hanisikilizi kabisa. Anasema nimethubutu kuzaa na mkewe na tumembambika mtoto halafu tutoroke.

Wakuu nipo njia panda, naishi kwa hofu mwanamke wangu anasema nisimuogope mwanaume mwenzangu nim face tu, anasema twende na yeye ataelezea historia nzima ya hill tatizo shida ni je iki fail? Hata hivyo nampenda yule mwingine kama si ndoa ningejua nae maana yeye tunalingana umri sema aliwahi kuolewa after form six, huyu rafiki mtu ananizidi karibu miaka mitano.

Nahitaji msaada wenu
 
mathew chance usimuogope mwanaume mwenzio we pambana mpk mwisho tena akija we muite huyo mke wake mbele yake kisha umuulize anataka kwenda kwa nani
 
Last edited by a moderator:
Nahisi jamaa ataku 0713
Duu nh
Ngoja nitarudi!
 
Pole ni mtihani ya Dunia lakini nakushaur mludie mungu wako,ukaache uzinzi kabisa na starehe za Dunia,Bado nafasi unayo..hakika uanweza kuwa mfano mzuri katika jamii endapo utachukua hatua na kuacha Tabia ya Uzinzi,chukua hatua kijana,bila hivyo utakuwa katika hali ngumu sana..
Jesus loves you hata kama wanadamu wa hapa Jf wanakuvunja moyo lakini mungu anakupenda ...just cry to Him
 
nachukia watu mnao singiziaga pombe..... muiache pombe ipumue....... ushauri ni kusimama kama kidume na akiendelea kukutishia mrikodi mchukulie RB na uwe na vitisho.. nani alimwambia amgeuze mkewe ngoma.. eti unikague chupi ? ningekuwa najikojolea nione atafanyaje
halafu naww ntaanza kukukagua mda si mrefu
 
si ulijifanya fundi kwa mke wa mwenzio? hilo lako mkuu tena jipange
 
tatzo umeanzia mapenz ukubwan... hapo suluhu n kuhama... hata ukimalizqna na huyo jamaa lakn hao wanawake wataendelea kukusumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom