"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu
kwenye mateso,Wakati roho inapo mwona
Bwana, zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia,
"Bwana tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!"
Alikuwa akiteseka sana na aliunyoosha mkono
wake kwa Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana
amtoe eneo lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi,
wala moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo
kifuani mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa
na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi."
Kwa jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke
huyu alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na
nyoka wa kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa
na miiba mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni
kama ya uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka
humwingia mama hyu sehemu zake za siri na
kusafiri hadi mwilini mwale hadi kwenye
koromeo lake. Nyoka alipo mwingilia hivi,
alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE
KWA VALENTINE DAY