mtafutie mwingine weweHERI YA PASAKA
leo rafki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto2 kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watt bado wadogo.kiukwel inaniuma hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau ht ale imeshindikana.duu wanawake mna roho mby kinoma
Sanaaaaaaaaaaa hatoroshwi mtu hapa,kwanza hata hiloneno kutoroshwa sijalisikia kitambo!Hakuna mwanaume wa kutorosha mke these days
huyo kaazimwa tu kwa sikukuu
jumanne mkewe atarudi apunguze presha....
siku hizi wanawake hawatoroshwi...wanaondoka wenyewe na kurudi
Hata nyie mnatorokaga wanawake zenu na kwenda kwa vimada, case za nyinyi kutorokwa ni chache sana, watoto wana umri gani kwani? mpoze mwambie alee asiumize kichwa sana akapoteza muelekeo mana atapoteza na muelekeo wa watoto. hao watoto watakuwa tu, kama vipi awapelekea kwa dada au mama yake kwa mdua wakati akitafakari, baadae atafute mwanamke mwengine, ila kama ni wadogo sanaaa awapeleke kwa mama yake mke wake au dada yake mke wake, halafu wao watajua ndugu yao yuko wapi na watajua chakufanya. kama unahisi huko kote watoto wataenda kuteseka tu, basi baki nao na mdada wa kazi, maisha yaendelee fanya ndo amekufa angefanyaje?HERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Kwanza mke wa rafiki yako kwanini wewe ikuume? huyo rafiki yako mwambie ale kimshuke asijikondesheHERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Mgosi kwenye hiyo Avatar hicho ni kitu gani?Na yeye atoroke tu amna namna