TANZIA Mke wa msanii Mrisho Mpoto afariki dunia

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
46,407
Reaction score
102,444
.
Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini jitihada za madaktari hazikuweza kuokoa uhai wake.

Taarifa hiyo ameishia Mrisho Mpoto mwenyewe akiandika 👉"Ngumu kuamini nimefiwa na Mke wangu".

#RIP
 
Apumzike kwa amani kifo hakizoeleki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…