Mke wa md wa bank analipwa mamilion!

Kaka mimi mgeni hapa JF,
hebu nifahamishe house girl wa hawara wapi hapo? maana hii kali na mpya kwangu!

Wewe utawaona humu wenye hasira, ujuwe kiongozi wao ana hawara tena ni mke wa mtu zilishushwa shutuma hapahapa JF kuwa analipiwa mpaka hausigeli na chadema na pia walisema analipiwa mpaka walinzi wa kanisa na chadema. Nnakuhakikishia huyo ni hawara kwani iliripotiwa humu kuwa bado alikuwa ana kesi ya kudai talaka, kawa jina anaitwa Josephine mashumbusi na ni hawara wa Dokta wa kanoni Slaa, Katibu Mkuu wa chadema na amesha zaa nae wakati ni mke wa mtu.
 
unataka aondolewe ulinzi ili wana ccm mpate mwanya mzuri wa kumpiga mapanga kama mlivyofanya huko mwanza na sasa mmefikia mpaka kuua huko Arusha USA River.
 
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba

Hv kwani hizo pesa serikali yako au ww ndo mnatoa, hzo hela wanalipa makaburu so ni juu yaoo..
 
Jamaa anajaribu kutufumbua macho tuzinduke mwamkashifu tu Kama Huna lakushare tuliza ball. Soma Kisha sepa
 
Na wewe ukasikia tu watu wanaongea kwenye daladala ukadhani ni hoja yenye mashiko.Jaribu kuwa more diagnostic.
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba
 
Sasa tukianza kurusha kila stori tunayosikia kwenye daladala bila kufanyia utafiti tutaifanya jamii forum ionekane kama kijiwe cha majungu. Ungefanya uchunguzi kwanza na ndio ulete habari kama hii!
Haingii akilini kwamba kampuni ya mkaburu (they r serious in business though they exploit us) imlipe mtu USD 15,000 for nothing!
Wanaoamua mishahara ya benki kama NBC kwa high levels (by position or remuneration) ni HR committee inayoundwa na members of the board na sio MD.
Hata tukiwa na tetesi, tuzipime kwanza kama zina-make sense!
 
Yes mke wa MD wa NBC anakunja kama USD 15,000 kwa mwezi....kumbuka alikua muajiriwa bank ikamtaka aache kazi ili amhudumie vizuri mzee

Safi sana hii inaitwa earning or income compensation maana aliachishwa kazi ili aweze kufanya majukumu ili mume aweze kutenda kazi zake vizuri. Hii haipo Tz tu hata nchi nyingine. After all NBC serikali ina 30% shares only hivyo kama main shareholder ameridhia tabu iko wapi? Mbona hatuulizi habari za marais au ma CEO wakubwa duniani ambapo pia wake zao wanaacha kazi kama wakipenda/optional ili watimize majukumu na wanalipwa? Bora huyu Mafuru mkewe analipwa na yeye ana deliver na hajaiba pesa ya mtu kuliko hizi zetu za walipa kodi zinatunza familia na vimada lukuki hatuulizi na hii ni kwa viongozi wengi waandamizi serikalini na taasisi nyingine za serikali. Naomba pia na National Housing Corporation wamlipe mke wa Nehemiah Mchechu kama ameajiriwa maana mumewe amefanya transformation za hali ya juu NHC. Nasema nchi hii inahitaji viongozi waaandamizi serikalini katika mashirika wawe vijana!! Tazana makampuni kama ya simu pale ni vijana na wana deliver, pia hata kampuni za vunywaji na wana make super profit. Hakuna kusinzia na kutundika koti kwenye kiti ili hali uko nje ya ofisi umeenda kutembelea kimada maana jioni mke anakubana au umeenda kupata supu!! Dadeki!
 
una shangaa nini?md wa tanesco kawekewa jenereta nyumbani!ina maana kule tanesco ni mahali pa maslahi tuu

I like this, kama ningekuwa rais huyu jamaa ni wa kumfukuza kazi... jukumu lake ni kuhakikisha umeme haukati, kwa kuweka jenereta kwake anamaanisha hawezi kusimamia hilo jukumu!! upuuzi mtupu!!
 
Wewe utawaona humu wenye hasira, ujuwe kiongozi wao ana hawara tena ni mke wa mtu zilishushwa shutuma hapahapa JF kuwa analipiwa mpaka hausigeli na chadema na pia walisema analipiwa mpaka walinzi wa kanisa na chadema. Nnakuhakikishia huyo ni hawara kwani iliripotiwa humu kuwa bado alikuwa ana kesi ya kudai talaka, kawa jina anaitwa Josephine mashumbusi na ni hawara wa Dokta wa kanoni Slaa, Katibu Mkuu wa chadema na amesha zaa nae wakati ni mke wa mtu.

Next utopian!!! Kwa taarifa mkuu ni kwamba kama unajua sheria za ndoa ni kwamba ukishaachana na mwenzi wako kwa miaka miwili na kuendelea bila tendo la ndoa basi ndoa hakuna. Kinachobaki ni makaratasi ya talaka ili upate uhuru wa kuoa/kuolewa. Kumbuka Dr. Slaa amekutana na huyu mama miaka mingi akiwa ameachana na mume wake. Pia ni kwamba mume alimuacha huyu mama na tayari alikuwa ameoa mwanaume mwingine. Kwa mantiki hiyo huyo mama hakatazwi kuwa na boyfriend na akitaka kufunda ndoa basi ni shurtu avunje ile ya awali kama ilikuwepo!! Siku hizi kuna misaada ya sheria kila kona hudhuria huko ukasomeshwe habari za ndoa. Kuna jingine unataka au? Hapa tunazungumia habari za MD wa benki na compensation arrangments kwa wake zao!!
 
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba

Hahahahaaa jadilini kwanza mkimaliza nitashusha data zote za wakuu wanaolipiwa mpaka mbwaaaaa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom