Mke wa md wa bank analipwa mamilion!

Kibwingho

New Member
Apr 27, 2012
1
0
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba
 
Yes mke wa MD wa NBC anakunja kama USD 15,000 kwa mwezi....kumbuka alikua muajiriwa bank ikamtaka aache kazi ili amhudumie vizuri mzee
 
Tulia uandike vizuri mkuu.

Benki ya Taifa ya Biashara imebinafsishwa kwa absa na mkapa.
Inategemea ana title gani.
Naona taarifa hii imekaa kimajungu, haielezei analipwa mamilioni kiasi gani.
Hukujiandaa kabisa kupost hii habari.
Scan payslip yake tuione humu
 
una shangaa nini?md wa tanesco kawekewa jenereta nyumbani!ina maana kule tanesco ni mahali pa maslahi tuu
 
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba

Mkuu tulizana basi uandike vizuri unaandika kama dogo wa Kindergarten.
 
usikurupuke tu kuanzisha thread.mbona hiyo ni kawaida kabisa na ni haki yake.ila inaonekana kama majungu vile!acha roho mbaya wewe
 
Kuna sehemu mpaka hausigeli wa hawara analipwa? au hujawahi kusoma humu JF? Na huko ndio upinzani. Kwi kwi kwi teh teh
 
Yes mke wa MD wa NBC anakunja kama USD 15,000 kwa mwezi....kumbuka alikua muajiriwa bank ikamtaka aache kazi ili amhudumie vizuri mzee

Hii kali,
Sijui na hapo mtasema CCM?

Niliwahi kusema wadau mkanipinga, WATANGANYIKA wezi sana, kuna haja ya kuwapa wazanzibar hizi nafasi.

Na mshukuru sana muungano, tukiuvunja mtaibiana hadi nguo za ndani!

Inasikitisha sana.

JK alikuwa na nia njema sana na hili taifa, ila wizi mtupu toka kwa vijana kwa sababu ya tamaa zilizopita mpaka.
 
Ah wapendwa leo nikiwa ndani ya daladala nkasikia watanganyika flani wakimtaja md wa bank ya taifa ya biashara kua mkewa analipwa mamiliano jama mshahara jamani kwa kua tu mke wa md!!kimei nae mke wake analipwa na ma md wengine?hebu nifungueni macho jamani nsijekua mie mshamba

Nenda ukalale huna jipya! Ukanye
 
Kwa sababu umekiri wewe ni mshamba ngoja nikueleweshe.. NBC ilibinaifsishwa na inamilikiwa na Kampuni inayoitwa ABSA toka South Africa.. Kwa hiyo kama mke wa MD analipwa its up 2 them & their management..
 
Kuna sehemu mpaka hausigeli wa hawara analipwa? au hujawahi kusoma humu JF? Na huko ndio upinzani. Kwi kwi kwi teh teh

Kaka mimi mgeni hapa JF,
hebu nifahamishe house girl wa hawara wapi hapo? maana hii kali na mpya kwangu!
 
Kwa sababu umekiri wewe ni mshamba ngoja nikueleweshe.. NBC ilibinaifsishwa na inamilikiwa na Kampuni inayoitwa ABSA toka South Africa.. Kwa hiyo kama mke wa MD analipwa its up 2 them & their management..

Wewe una matatizo, au una undugu na huyo mama.
 
Kwa sababu umekiri wewe ni mshamba ngoja nikueleweshe.. NBC ilibinaifsishwa na inamilikiwa na Kampuni inayoitwa ABSA toka South Africa.. Kwa hiyo kama mke wa MD analipwa its up 2 them & their management..

Khaaaaaaaaa! Jamani ualimu kazi jamani, mweeeeee!
 
Kaka mimi mgeni hapa JF,
hebu nifahamishe house girl wa hawara wapi hapo? maana hii kali na mpya kwangu!

kwanza Ribosome sio kaka ni Kibibi chenye wajukuu zaidi ya kumi..
Ukitaka huo umbeya mtafuta jamaa mmoja anaitwa TUNTEMEKE, maana inaonekana mambo ya Tanganyika yanakuwasha saana wakati muungano hamuutaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom