Mke wa kuoa anahitajika, nipo Dar es Salaam

Aaliyyah

JF-Expert Member
Mar 20, 2022
8,305
19,447
Katika ujanja ambao waislamu waliufanya.. ni quran kukataza wanawake wa kiislamu kuolewa na dini zingine.. ila quran imeruhusu wanaume wa kiislamu kuoa dini zingine.

Maana wanawake wangeruhusiwa kuolewa na dini zingine kama wanaume.

Wanaume wa kiiislamu wangekosa wake wa kuwaoa

Maana wanawake wa kisasa hawataki mambo ya uke wenza. Hivyo wanawake wa kiislamu Wangekimbilia kuolewa upande ambao hauna uke wenza kwa kisingizio cha dini inaruhusu
Ukewenza unauma kuzagamuliwa Kwa zamu yataka moyo
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom