National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 10,705
- 31,843
Khaaaaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Dah 🤣🤣🤣 unamix ID na National Anthem mi mstaarabu
Khaaaaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Dah 🤣🤣🤣 unamix ID na National Anthem mi mstaarabu
Salama kaka angu sijui ww🙄🙄🙄🙄🙄 Dada mzuri umeamkaje
😂Si juzi tu katupostia memes za nn huyu 😂😂🤣🤣Huyo amebatizwa juzi tu hapa, huku nyumbani mtakatifu sana
😂Si juzi tu katupostia memes za nn huyu 😂😂🤣🤣Huyo amebatizwa juzi tu hapa, huku nyumbani mtakatifu sana
Mhhh huyu kumbe sio wa kumuachia biashara ya mzee asimamie itaishia kwa vichunchude😂Si juzi tu katupostia memes za nn huyu 😂
TAFADHALI NAOMBA ZINGATIA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU.
Habari wana jamiii forums, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana wa kitanzania.
Mimi ni mwajiriwa wa serikali katika ajira hizi mpyaa, sasa tangu niajiriwe kila nikipiga hesabu zangu siwezi ishi bila mke,nimeshindwa kabisa. Lakini pia nimeajiriwa katika moja ya taasisi hapahapa Dar es Salaam, lengo la bandiko langu ni kutafuta mke awe muislamu hata kama atakuwa mkristo awe tayari kubadili dini kuja upande wangu.
NB: Naomba nieleweke kuwa natafuta mke na siyo mpenzi. Naitaji mwanamke ambae naweza tengeneza familia naey
SIFA ZA MWANAMKE
1. Asiwe Mnene
2. Mweupe
3. Awe na kimo (urefu) wastani
4. Umri kuanzia 28 kurudi chini
5. Awe tayari kupima Afya
6. Awe na hofu ya Mungu, yaani asiwe ni mtu wa mambo mengi, maana mimi mwenyew sina mambo mengi.
7. Asiwe Mchaga, Muhaya au Mzaramo.
Ukiwa upo seriously ni PM.
Aisee..If you want to live a happier life , just be singo…
Status zetu hizoo
Giza lishakuathiri mkuu....nilikuambia inuka hapo bhana