Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza kufua nguo za mke wa kaka yako, bila shaka nae atafua zako. Tena nenda mbali zaidi upike na kufanya usafi wa nyumba. Yaani hatapindua atakufulia.
Usisahau kuleta mrejesho.

