Kubeba vyuma sio kazi. Kiswahili sanifu kazi ni ile shughuri yoyote inayokuingizia kipato halali. Nondo wengi tunapiga,lakini sio kazi yako kama ulivyoitaja hapo ni sehemu ya kuuweka mwili fit (mazoezi)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kubeba vyuma si gym mzeiyaaaa
Unamwaibisha kaka yako aonekane kwao ni wazembe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weeee takiii uchokozi wako ,,hyo fursa hapana na ingekua wengine sio huyu mke wa kaka
Nta anzaje mkuu hapo ndo shidaMtafute Rafiki Mkubwa WA kaka wako muambie amuambie kaka wako amkaze vizuri mkewe.
Vp mgodi bado hujatema ??Nenda kasome vizuri hadithi za Erick shigongo ndio uje tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuuMpe mashine mkuu maana kaka ako ashakua mwanaume dar hawez kazi... Anamtesa mtoto wa watu keshaona kidume cha mkoa kipo mjengon we gegeda tu mpk mwisho wa likizo yako....
NB ukipiga mgegedo utupe mrejesho pia mkuu kila kheri[emoji41]
HujaelewaMke wa kaka yako siyo mke wa mtu, huyo ni shemeji yako acha upumbavu, unakaaje kwa kaka ako siku zote hizo, tembea katafute hela uoe na wewe.
Habari za weekend wadau ,I hope mko Poa labda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ni hivi nmepata kalikizo kafupi kutoka kiumeni (kwa watabe wa kubeba dunia) now nko dar nmekuja kumsalimia kaka Mana ni muda toka tumeachana mm nkiwa arusha (kiumeni).
Shida iliyonifanya niandike uzi huu ni huyu shemala wangu ,yaaan mke wa kaka Mana toka nimefika hapa ni shida tupu kwa mazingira anayoniwekea na hali hua tete kaka akienda kazini kila nikikaa sebuleni na yeye anakuja tena akiwa na nguo amabazo hua hazinibariki kbsa ukizingatia yeye ni mke wa kaka yangu ,hua anapenda sana kuniangalia usoni na kutabasamu kuna siku nlikua nmetulia zangu nacheki movie akaja akawa ananipigisha story haishi kunisifia Mara chlorine gas ww ni mpole kuliko kaka yako Mara macho yako yananichanganya sometimes namkatisha maongezi kwa kuleta mada zingine hali hii inaniogopesha Mana hata tukiwa tupo na kaka huyu shemela ananitupia vimacho vya wizi wizi as if kuna kitu anataka ,nmejarbu kujiweka mbali kwa kuwatembelea washkaji zangu na hata nkirudi nyumban najifungia chumbani lakn kila nkitoka analalamika kwenye meseji eti nmeenda kwa vimada vyangu badala nikae nyumbani nitulie ukizingatia kazi yangu mm ni ya kubeba vyuma(sifa damu) sasa nashindwa cha kufanya hapa nmepanga nisepe zangu mji kasoro bahari nkamalizie likizo yangu nirudi kiumeni arusha ,naogopa sana wake za watu jaman wanawake mlio kwenye ndoa msitutie majrbuni mashemeji zenu tunapokuja kuwasalimia kumbukeni na sisi tuna ugwadu vile vile mambo yanapotuzidia punguzeni Mitego.
Ndo nmepanga kwenda Moro then nisepe arushasi umemaliza kusalimia, rudi ukaendelee na shughuli zako za kiuchumi
Asante mkuuKama unaona mbali fupisha likizo,ondoka.
Kiukweli mm sio mwandishi mzurii nisamehe kwa hilo ila kwa ku mpa anachotaka ni vigumu japo najua anataka nimtindue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mamii ngoja nichape lapaSepa tu, hapo ndugu yako ni kaka yako mmesha onana. Mengine unstafuta lawama
Cjakuelewaacha porojo ww
Duh ila najua hauko seriousHainaga ushemeji hiyo.