Mke wa kaka ananitia majaribuni

Kwa watabe(au wababe) wa kubeba dunia ni kina nani hao mkuu?. Kazi yako ya kubeba vyuma ndio kazi gani hiyo? ni kampuni gani inatoa hiyo ajira? (inaweza ikawa na mshahara na malupulupu kibao?). (sifa damu-hii ni nini?). Halafu shemeji umesema unamuacha unaenda mji kasoro bahari kumalizia likizo? Hiyo inatosha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kubeba vyuma si gym mzeiyaaaa
 
Fursa imemfuata hadi mdomoni anashindwa kufungua mdomo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weeee takiii uchokozi wako ,,hyo fursa hapana na ingekua wengine sio huyu mke wa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…