Mke wa jirani...

Mke wa jirani...

Mkuu hata kidogo ana watoto visu lakini sijawahi gusa hata ncha naheshimu image angu kozi nikija oa mke wangu asisumbuliwe kwamba amekula makombo yao
Hili jibu limeonyesha kabisa inawezekana mama wa watu alikua anaweka skirt yake vizuri baada ya kujisaidia, au kuna mdudu alikuwa kampandia. Ila ww huna uzoefu na mapaja ya wanawake kwako ikawa big issue.
 
Labda alikuwa anamuonuesha mwanamke mwenzake pichu mpya hivyo wewe kutokea imekuwa bahati mbaya tu , ila wewe endelea na maisha yako, usifikiri anakutega , ilikuwa bahati mbaya tu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Nilitaka nikupe ushauri wa kibaharia ila nafsi imenisuta huu ni mwez mtukufu

Sent using Gun Trigger
 
Ushauri wangu ni tulia nyumbani vaa barakoa,tumia maji yanayotiririka nawa na sanitizer,epuka misongamano isiyolazima..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom