Mke wa hiari jf. . . !

Mke wa hiari jf. . . !

Njia ya muongo ni fupi mwambie athibitishe hilo!

Haina haja ya kumwambia athibitishe,watu kama hawa unawapotezea tu mshenga we si unaona alivyojichomeka?hawa huwa huwakosekani hasa pale wanapoona meli inataka kuelea kama hii yetu.
 
Ana stress sana tangu zamani!

Haina haja ya kumwambia athibitishe,watu kama hawa unawapotezea tu mshenga we si unaona alivyojichomeka?hawa huwa huwakosekani hasa pale wanapoona meli inataka kuelea kama hii yetu.
 
He unataka nianze kujikimbiza kabla sijakubalika vizuri mshenga vipi tena ?we si uliona alivyokuwa anasisistiza vigezo havibadiliki?sijui atakuwa mmachame naogopa!subiri kieleweke kwanza bana
 
Mama mkwe hana shida kabisa usijali soon mambo yatatiki utafurahi
He unataka nianze kujikimbiza kabla sijakubalika vizuri mshenga vipi tena ?we si uliona alivyokuwa anasisistiza vigezo havibadiliki?sijui atakuwa mmachame naogopa!subiri kieleweke kwanza bana
 
Hata me najua mama ticha hana shida nimetania tu,ila si unajua mpaka offer ikamilike and other activities will follow?
 
Mama gfsonwin, huyu @jineneke umeridhika nae mamito?

mwanangu Ronn M huyu nimemkubali kwani nina uhakika na jinsia yake kwamba ni she and pia aweza kuwa mtu wa busara manake ana desturi huwa akiambiwa kosa lake anarekebisha pasi kubisha nakumbuka aliwah kukoment vby sana juu ya mdada mmoja humu jamvini basi mzee Mtambuzi akamwambia arekebishe kabla hatuja mquote alifanya hivyo and to me alionyesha kuwa muungwana na msikivu pia mtu mwenye nidhamu ya dhati yaani si ya kinafiki.
 
Last edited by a moderator:
Miaka ile nakuja Dsm, wakati bado mbezi ni shamba, kabla Lulu hajaanza kutangaza ITV, wakati mambo ya ruksa yakiwa yanaishia, nilikuta kuna vitu wanaita 'dada/mama wa hiari'. Nami leo natafuta mke wa hiari. Mama yangu gfsonwin na mamdogo cacico, Erickb52 nisaidieni!

CV yangu. LLB (Hons) (udsm), LLM (Warwick). Legal income (12,000 -20,000 USD per month), owning one house in Arusha, Living in a rented one at Makumbusho. Two cars, Rav 4 J two doors and one mark 2 grande.

Prospective wife cv! Any bachelor with atleast five yrs of experience in relationship. Must be good in bed cause she has to teach me as i ve never done! (thanks to my parents for nice spiritual teachings). Must be computer literate, owning passport and valid driving licence class c. Must be eye appealling with convincing back. Full breasts with round lips. Any artificial material in her body warrant immediate rejection!

The door is very open!
Kweli wewe ni mwanasheria............................LOL
Haya weka kabisa mkataba hapa kabla wenyewe hawajajitosa, ili wajue vigezo gani na masharti ya kuzingatiwa.,........
 
Kwanza shikamoo mama wa hiari wa mtarajiwa
He kumbe uoga wangu sio wa bure?Madam kweli umeexaggrate haikuwa vibaya it was fair comment only tu interpretation was bad
 
mwanangu Ronn M huyu nimemkubali kwani nina uhakika na jinsia yake kwamba ni she and pia aweza kuwa mtu wa busara manake ana desturi huwa akiambiwa kosa lake anarekebisha pasi kubisha nakumbuka aliwah kukoment vby sana juu ya mdada mmoja humu jamvini basi mzee Mtambuzi akamwambia arekebishe kabla hatuja mquote alifanya hivyo and to me alionyesha kuwa muungwana na msikivu pia mtu mwenye nidhamu ya dhati yaani si ya kinafiki.

Huyo kweli atamfaa.................LOL
 
He bora babu Mtambuzi umekuja kunipalilia nona mshenga anamalizia iddi?Samani naomba nimulize mamaticha amethibitishaje mimi ni she?Na we babu ni vigezo gani vimekufanya usime nitamfaa?Je ye atanifaa?Kwa sababu hatra me nahitaji atakaenifaa
 
Naona mambo yanaenda kuwa mazuri sasa!

Back
Top Bottom