Mke wa hiari jf. . . !

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Miaka ile nakuja Dsm, wakati bado mbezi ni shamba, kabla Lulu hajaanza kutangaza ITV, wakati mambo ya ruksa yakiwa yanaishia, nilikuta kuna vitu wanaita 'dada/mama wa hiari'. Nami leo natafuta mke wa hiari. Mama yangu gfsonwin na mamdogo cacico, Erickb52 nisaidieni!

CV yangu. LLB (Hons) (udsm), LLM (Warwick). Legal income (12,000 -20,000 USD per month), owning one house in Arusha, Living in a rented one at Makumbusho. Two cars, Rav 4 J two doors and one mark 2 grande.

Prospective wife cv! Any bachelor with atleast five yrs of experience in relationship. Must be good in bed cause she has to teach me as i ve never done! (thanks to my parents for nice spiritual teachings). Must be computer literate, owning passport and valid driving licence class c. Must be eye appealling with convincing back. Full breasts with round lips. Any artificial material in her body warrant immediate rejection!

The door is very open!
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaa mwe! we mwana we, mbona mkwala hivyo mwanangu wa kwa mama mwingine???
 
sijui nikuchukue.....?

Wewe tuu Preta, I will provide every material thing you want in exchange of gr8 love and bedding! Nataka mtu wa kunidekeza kama mtoto vile kwa kunipa chakula motomoto!
 
Last edited by a moderator:
amekua eeeh,
jamani mwanangu amekua eeeh,
amekua eeh. jamani mwanangu amekua eeh,

shoga nipeleke nikamkuze mwanagu amekua eeh cacico, sweetlady Kaunga, Kongosho nipelekeni mwanangu amekua eeh,

lol! nimefurah sana mwanagu umekuaa ngoja nikaongee na baba kisha nitarudi manake nimemwona yule binti Asprin akiwa na nidham sana na nakumbuka siku nimealikwa kwao alinifurahisha sana ngoja niomsikilize na mama yake mdogo cacico atasemaje jamani lol! raha jamani rahaaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Miaka ile nakuja Dsm, wakati bado mbezi ni shamba, kabla Lulu hajaanza kutangaza ITV, wakati mambo ya ruksa yakiwa yanaishia, nilikuta kuna vitu wanaita 'dada/mama wa hiari'. Nami leo natafuta mke wa hiari. Mama yangu gfsonwin na mamdogo cacico, Erickb52 nisaidieni!

CV yangu. LLB (Hons) (udsm), LLM (Warwick). Legal income (12,000 -20,000 USD per month), owning one house in Arusha, Living in a rented one at Makumbusho. Two cars, Rav 4 J two doors and one mark 2 grande.

Prospective wife cv! Any bachelor with atleast five yrs of experience in relationship. Must be good in bed cause she has to teach me as i ve never done! (thanks to my parents for nice spiritual teachings). Must be computer literate, owning passport and valid driving licence class c. Must be eye appealling with convincing back. Full breasts with round lips. Any artificial material in her body warrant immediate rejection!

The door is very open!
Mhhhhhhh!!!!!!wengine wenye zile shepu za kichaga tulie tuuu!!ingawa sifa nyingine zote tumequalify!!kila la heriii!!!!
 
amekua eeeh,
jamani mwanangu amekua eeeh,
amekua eeh. jamani mwanangu amekua eeh,

shoga nipeleke nikamkuze mwanagu amekua eeh cacico, sweetlady Kaunga, Kongosho nipelekeni mwanangu amekua eeh,

lol! nimefurah sana mwanagu umekuaa ngoja nikaongee na baba kisha nitarudi manake nimemwona yule binti Asprin akiwa na nidham sana na nakumbuka siku nimealikwa kwao alinifurahisha sana ngoja niomsikilize na mama yake mdogo cacico atasemaje jamani lol! raha jamani rahaaaaaaaaaaaaaa!

Nasubiri neno lako mama! Ni mwongozo tosha kwangu
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri neno lako mama! Ni mwongozo tosha kwangu

mwanangu mpendwa wa moyoni, binafsi nimefurah sana kuskia kutoka kwako kwamba unataka mke wa hiari humu jamvini. Ninachoweza kusema ni kwamba hapa aongea kwanza na baba yako Kaizer manake miye mama yangu ya umama nitakwambia sirini siku ukisha mpata huyo mlengwa.

ila sifa za kuangalia mwanangu angalia tu akupende kwa dhati kama mimi nimpendavyo baba yako Kaizer. awe si mgomvi wala asiyejua kupika hasa zile ndizi zetu za utumbo. awe mcha Mungu, mwenye kupenda kusikiliza kuliko kuongea, apende kuwa mama na mke na wala si kuwa mwanamke. pia awe mchapa kazi kama mimi mama yako nisije mwambia leo tuoshe nguruwe aanze kusema anaumwa, wala asiwe mfujaji yaani awe anatumia kile alichosave na si alichopata. sifa nyingine jamani awe mpenda watu na mwenye kujiheshimu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom