Mke wa hiari jf. . . !

bachelaaa,
sitaki tena kuwa bachelaaa,
japo maisha ya kiselaaa,
sometimes yananipa rahaaa...........
 
mi nawajua wengi wenye sifa hizo ambao wangekufaa ila tatizo hukunitaja ktk list yako ya kukusaidia...
 
Bora umuombee mwanao tena ikiwezekana ufunge siku40 Nahisi kuna mtu kamzibia njia.


mwanangu hawa wote hawakufai ila usijali utapata ngoja nikunje goti kwanza. cku 3 tu Mungu atajibu. nakupenda sana mwanangu.
 
Last edited by a moderator:

ukinunua vogue ntakuja
 
Last edited by a moderator:
Am totally qualified aisee inawezekana you are a man of my dream,nipo serious nitakupataje?
 
hhahaa ivi kwa nini watu wengi wanafikiri hiyo ID ni ya mwanaume me ke bwana "kweli inaniweka huru"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…