Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

Looh wewe watu umewapanga mafungu mafungu, wengine hawana maana unaweza kuwaporomoshea matusi na wengine umewavesha uungu

Gwajima ndicho kikamkuta cha kumkuta.Hakujua kuwa ukitaka kuporomosha matusi inabidi upange watu mafungu kwanza.Kuna watu hawatukaniki.Binadamu wote si sawa hasa ukitaka kuporomosha matusi wengine ukitukana tu wanakupiga nondo..
 
Gwajima anatakiwa akitoka hapo TMJ wampeleke kule alipokaa kwa Muda Shehe Ponda naye ashike adabu! Mmeshamsikia tena Ponda???
 
Ukweli atausema mwenyewe tungoje atoke.

Anaweza akatoka akiwa 'hana uwezo' wa kusema kama ilivyokuwa kwa Dr. Ulimboka, maana naye alikuwa amepanga kusema lakini baada ya kutoka hospitali hatujamsikia tena.
 
Huyo mke wa Gwajima anatia huruma.Hata ukimwona kwa kweli kajikatia tamaa.Jitu likiwa zima kazi kutukana watu kwenye majukwaa kanisani na kutembea na viruka njia akina Flora Mbasha.Likiumwa mke ndie anatupiwa zigo la kuliuguza na kulitolea maelezo linaendeleaje.
Pole mke wa Gwajima.Pokea pole toka moyoni mwangu kabisa.

Umekua mke wa Gwajima?
 
koments za humu ni komedy tosha....kuna vichwa vimevurugika sana..
 
Anaweza akatoka akiwa 'hana uwezo' wa kusema kama ilivyokuwa kwa Dr. Ulimboka, maana naye alikuwa amepanga kusema lakini baada ya kutoka hospitali hatujamsikia tena.

Ninavyomjua Gwajima sio kama wale yeye ni mtu mwingine haangalii sura ya mtu wa kumyooshea maneno anapokosea

tungoje tumsikilize atakachosema
 
Ninavyomjua Gwajima sio kama wale yeye ni mtu mwingine haangalii sura ya mtu wa kumyooshea maneno anapokosea

tungoje tumsikilize atakachosema

Unamkumbuka mtuhumiwa namba 10 kwenye kesi ya Zombe/Zombi? Alikuwa anaitwa Lema. He never made it to the witness stands!
 
koments za humu ni komedy tosha....kuna vichwa vimevurugika sana..

Aisee hata mimi sometimz..nacheka kidogo nife..
hasa huyu aliyesema ana dictionary ya matus..
hahahahhhhhahaaa

but cfurahii hta kidogo!
 
NASHUKURU SANAA ,KUMBE ADHABU ZINGINE HUUSUBILI MWISHO WA DUNIA ,SASA NANI KAVAA PEMPAS? GOD is GOOD
 
Kamwuulize Gwajima kilichofanya presha ipande.Kaonyweshwa ukurasa mmoja tu wa yaliyomo kwenye faili lake lililoko kwenye vyombo vya usalama na polisi kapanda presha. Kwani akicheki faili lake anakuta lina kurasa kibao na ukurasa huo mmoja tu anasikia kufa.Kwa nini asipande presha hapo.Alikuwa hajui kama kuna faili lake.

Sasa hivi nasikia ukimwekea tu kale kavideo kanakoongelea yeye akitukana pengo akisikia tu anazimia sijui kwa nini.Anayebisha akienda kumwona hospitali aweke ile sehemu ya kumtukana pengo kama mlio wa simu ili ikiita itoe ile sauti ya Gwajima akimtukana pengo utaona Gwajima anazimia hapo hapo.Hana hamu na sauti yake mwenyewe.

hahahaaaaa
 
Ukiingia Jf stress kwisha habari yake!!!!!!!!!!!!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hivi huwa najiuliza hao wanaomwamini gwajima huwa wanaamini na yale mambo ya kufufua misukule/wafu??!

unauliza majibu kaka.kinachowavutia ni namna jamaa anavyofufua wafu.wanaamini kabisa mtume anafufua watu waliokufa.mijinga ndo inayoliwa.kalagabaho
 
mimi kwa hii post sina koment!!!!!!,,,
maana wanasema mdomo uliponza kichwa,,,,,,,,,,,
nitabaki msomaji mpaka mwishoooo!!!!
 
Polisi naomba abanwe mpaka aseme kwanza kwanini anatembea na pistol na risasi wakati yeye ni mtume?atakuwa ana mtandao wa ujambazi huyu aeleze vizuri.
 
Back
Top Bottom