Sio askofu wala nini, fikiria kuwa wakati walifunga kwa muda mrefu akiwaambia waumini wake kuwa anataka awafufue watu, siku ilipofika akaahirisha kwa kile alichosema hao watu atakao wafufua watakosa sehemu ya kuishi, mambo ya hovyo sana, yeye si anajifanya ananguvu za Mungu za kuombea watu mbona kazimika cental mbele ya Falsayo Kova na hamna lolote kova anadunda tuu? Haya mambo ya kitokea ni funzo tosha kwa waumini wajue hila zilizopo kwa watumishi wao. MTUMISHI WA MUNGU ANAPOROMOSHA MATUSI YA NGUONI KAMA WABEBA MIZIGO WA SHIMONI KARIAKOO? Bado tu Bwana Yesu asifiwe ipo? aibuuuuuuu kuuu kwa wafuasi wake?mwanangu umenifanya nichekeee kwanguvu kweli..kuna watu nashangaa wana mtetea huyo hayawani Gwajima na bila aibu wanamuita askofu,askofu hasidi,malaya wakutupa anatembea na waumini iliawape maono
mwanangu umenifanya nichekeee kwanguvu kweli..kuna watu nashangaa wana mtetea huyo hayawani Gwajima na bila aibu wanamuita askofu,askofu hasidi,malaya wakutupa anatembea na waumini iliawape maono
Kweli watanzania tuna IQ ndogo sana.kumbe kutukana ni sifa
Sio askofu wala nini, fikiria kuwa wakati walifunga kwa muda mrefu akiwaambia waumini wake kuwa anataka awafufue watu, siku ilipofika akaahirisha kwa kile alichosema hao watu atakao wafufua watakosa sehemu ya kuishi, mambo ya hovyo sana, yeye si anajifanya ananguvu za Mungu za kuombea watu mbona kazimika cental mbele ya Falsayo Kova na hamna lolote kova anadunda tuu? Haya mambo ya kitokea ni funzo tosha kwa waumini wajue hila zilizopo kwa watumishi wao. MTUMISHI WA MUNGU ANAPOROMOSHA MATUSI YA NGUONI KAMA WABEBA MIZIGO WA SHIMONI KARIAKOO? Bado tu Bwana Yesu asifiwe ipo? aibuuuuuuu kuuu kwa wafuasi wake?
Mie kwa busara ya kawaida tu...na kwakuwa Kikwete kasema hali ya nchi ni tete... Polisi wange mwacha tu na kwakuwa pia aliedaiwa kutukana kasamehe. Ila kama wana jambo lingine na Gwajima waseme...watanzania tujue....
Mumeo mgojwa unaacha kumwandalia vitu atakavyohitaji pale hospitalini wewe unampelekea paasport, bastola na risasi vya nini kwa mgonjwa? Hapo bado utasema polisi waongo? Acha kuwa mnafiki mngekuwa mnasimamia na kutafsiri biblia kama Mungu apendavyo yasingetokea haya.
Ninavyomjua Gwajima sio kama wale yeye ni mtu mwingine haangalii sura ya mtu wa kumyooshea maneno anapokosea
tungoje tumsikilize atakachosema
Polisi naomba abanwe mpaka aseme kwanza kwanini anatembea na pistol na risasi wakati yeye ni mtume?atakuwa ana mtandao wa ujambazi huyu aeleze vizuri.
hivi huwa najiuliza hao wanaomwamini gwajima huwa wanaamini na yale mambo ya kufufua misukule/wafu??!
Hapa hatuzungumzii habari za imani ya mtu yeyote, tunamzungumzia Gwajima kama mtanzania na mtu anayestaili kuishi. Wewe ni miongoni mwa wanaowapoteza albino nini? Polisi wa nchi hii wanaua, ukishabikiashabikia watamuondoa utapata faida gani?
hivi huwa najiuliza hao wanaomwamini gwajima huwa wanaamini na yale mambo ya kufufua misukule/wafu??!
mwanangu umenifanya nichekeee kwanguvu kweli..kuna watu nashangaa wana mtetea huyo hayawani Gwajima na bila aibu wanamuita askofu,askofu hasidi,malaya wakutupa anatembea na waumini iliawape maono
mwanangu umenifanya nichekeee kwanguvu kweli..kuna watu nashangaa wana mtetea huyo hayawani Gwajima na bila aibu wanamuita askofu,askofu hasidi,malaya wakutupa anatembea na waumini iliawape maono
Gwajima ndicho kikamkuta cha kumkuta.Hakujua kuwa ukitaka kuporomosha matusi inabidi upange watu mafungu kwanza.Kuna watu hawatukaniki.Binadamu wote si sawa hasa ukitaka kuporomosha matusi wengine ukitukana tu wanakupiga nondo..