Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

Hapa hatuzungumzii habari za imani ya mtu yeyote, tunamzungumzia Gwajima kama mtanzania na mtu anayestaili kuishi. Wewe ni miongoni mwa wanaowapoteza albino nini? Polisi wa nchi hii wanaua, ukishabikiashabikia watamuondoa utapata faida gani?

wakati anaporomosha matusi ulipata faida gan?
 
Huyo mke wa Gwajima anatia huruma.Hata ukimwona kwa kweli kajikatia tamaa.Jitu likiwa zima kazi kutukana watu kwenye majukwaa kanisani na kutembea na viruka njia akina Flora Mbasha.Likiumwa mke ndie anatupiwa zigo la kuliuguza na kulitolea maelezo linaendeleaje.
Pole mke wa Gwajima.Pokea pole toka moyoni mwangu kabisa.

Unafiki hauhitaji kusomewa
 
I feel sorry for him but let him be an example for those who open up their lips and provoke other people in the media.
 
Tatizo la ya haya madhehebu ya wasaka tonge,wana raise tension iliyapate umaarufu,kwastyle iyo hakuna tofauti na mbongoflaver akisaka kick,tena mbongo flaver yu bora mana platform lake linaruhusu matusi ila sio huyu bro..loo waumini rudini mlikotoka mana mnakopelekwa sio kwenyewe!
 
Mkuu hapo ndio umefunga kazi
hata mm sivipendi hivi vikanisa vya watu binafsi kwani vina matatizo ya kujiona vipo juu ya wanadamu wote
Na hii Wizara ya Mambo ya ndani inayoviandikisha tu kwa ajili ya pesa sasa ivichunguze

Huyu Mama Gwajima (Grace) ni muongo kabisa ni wapi POLISI walimuhoji Gwajima bila ya mwanasheria wake kuwepo ina maana sasa watawasingizia kuna kitu wamemuwekea ndio maana akazirai
​
Gwajima alipoanza kuhojiwa kuhusu mali alizojipatia, kuingia katika magenge ya Siasa na uuzaji wa madawa ndio akajifanya kazirai, hakumbuki kuwa aua ugomvi na waumini wake wengi waliojiapiza kutoa siri ya biashara zake (Emma Mbasha)
POLISI hawawezi kumsingizia Gwajima kutoroka, saa 8 za usiku mnamtembelea wodini na Bag lenye Passport, nguo bastola simu nk hapo sio kutoroka na baadaye aje kujisifu kuwa ni kwa UWEZA WAKE
mwisho wake umefika

​
 
Kama pengo hajiheshimu unataka aheshimiwe na nani.

Viongozi wa wakristo wamekubaliana jambo, wamelitolea tamko pengo anakujaje kinyume nao??

Kadhi anakuja kuisilimisha Tz, umoja wa wakristo Tz unatakiwa zaidi saa hizi kuliko wakati mwingine wowote.

Mikurupuko ya pengo ni hatari kwa afya ya UKRISTO kuliko maneno makali ya Gwajima.
Kumuonya ni sawa,lakini sio kwa style ile,ajue kua yeye Gwajima ni mtu na heshima zake sijui kama anajua,sasa kupayuka kama vile yuko kwenye mipasho haileti maana nzuri,wala unaposema kwa kelele au kwa ushari hujengi unabomoa,Mkuu watu ni wengi lakini waungwana wachache sana........
 
Nimekusoma, kwanza unakubaliana na mimi kuwa Pengo alikosea akastahili adhabu, ambacho sasa unaleta mkanganyiko ni kuwa unataka narudia tena, UNATAKA (kama ni kuonywa) Pengo aonywe kwa unyenyekevu mkubwa!!!! Si ndio???
 
Huyo mke wa Gwajima anatia huruma.Hata ukimwona kwa kweli kajikatia tamaa.Jitu likiwa zima kazi kutukana watu kwenye majukwaa kanisani na kutembea na viruka njia akina Flora Mbasha.Likiumwa mke ndie anatupiwa zigo la kuliuguza na kulitolea maelezo linaendeleaje.
Pole mke wa Gwajima.Pokea pole toka moyoni mwangu kabisa.

Inabidi tumuimbie wimbo wa dunia haina huruma.
 
Mkuu hapo ndio umefunga kazi
hata mm sivipendi hivi vikanisa vya watu binafsi kwani vina matatizo ya kujiona vipo juu ya wanadamu wote
Na hii Wizara ya Mambo ya ndani inayoviandikisha tu kwa ajili ya pesa sasa ivichunguze

Huyu Mama Gwajima (Grace) ni muongo kabisa ni wapi POLISI walimuhoji Gwajima bila ya mwanasheria wake kuwepo ina maana sasa watawasingizia kuna kitu wamemuwekea ndio maana akazirai
​
Gwajima alipoanza kuhojiwa kuhusu mali alizojipatia, kuingia katika magenge ya Siasa na uuzaji wa madawa ndio akajifanya kazirai, hakumbuki kuwa aua ugomvi na waumini wake wengi waliojiapiza kutoa siri ya biashara zake (Emma Mbasha)
POLISI hawawezi kumsingizia Gwajima kutoroka, saa 8 za usiku mnamtembelea wodini na Bag lenye Passport, nguo bastola simu nk hapo sio kutoroka na baadaye aje kujisifu kuwa ni kwa UWEZA WAKE
mwisho wake umefika

​

Mkuu yaani angefanikiwa kutoroka angeseme malaika wamemuondoa aondoke kama Paulo na sila kwenye biblia yaani angepanga fix Za kuwadanganya misukule wake wanaomshangilia akiporomosha matusi mpaka wangemuamini walivyo mazuzu
 
Back
Top Bottom