Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

Huyo mke wa Gwajima anatia huruma.Hata ukimwona kwa kweli kajikatia tamaa.Jitu likiwa zima kazi kutukana watu kwenye majukwaa kanisani na kutembea na viruka njia akina Flora Mbasha.Likiumwa mke ndie anatupiwa zigo la kuliuguza na kulitolea maelezo linaendeleaje.
Pole mke wa Gwajima.Pokea pole toka moyoni mwangu kabisa.
nimecheka sana mkuu!
 
hao walinzi waliokamatwa kwa tuhuma za kutaka kumtorosha kwani si alikwenda mwenyewe baada ya kushindwa kumpata?sasa anatoroshwaje?

Wamekutwa eneo la TMJ hospitali saa tisa usiku mida ambayo si saa za kuona wagonjwa wakitaka kuingia kwa nguvu ndani ya hospitali wakiwa na pistol na risasi ina maana walitaka kuua mlinzi na kutoroka na Gwajima.
 
Mie kwa busara ya kawaida tu...na kwakuwa Kikwete kasema hali ya nchi ni tete... Polisi wange mwacha tu na kwakuwa pia aliedaiwa kutukana kasamehe. Ila kama wana jambo lingine na Gwajima waseme...watanzania tujue....
 
mbona mmewe analivyofumwa na frola mke wa mtu hakusema chochote??

Huyo mama mnafiki sana, polisi wamdhuru kwa uhatari gani alionao! je mbona hasemi huenda kalogwa na aliowachukulia wake zao, au hili halioni.
 
Gwajima akitoka hapo hospitali Polisi waendelee kumuhoji ikiwezekana wamtandike kidogo ili aseme ukweli huwa ni nani anamtuma kutukana viongozi wa dini.

Bahati yake hayupo tena Zombe, angepata kibano!!!
 
Wamekutwa eneo la TMJ hospitali saa tisa usiku mida ambayo si saa za kuona wagonjwa wakitaka kuingia kwa nguvu ndani ya hospitali wakiwa na pistol na risasi ina maana walitaka kuua mlinzi na kutoroka na Gwajima.

Kwani nchi hii kuna tangazo lolote linaloonyesha muda wa mwisho wa kuwa sehemu hiyo?yaani hali ya hatari.mwisho Wa kuwa maeneo hayo ni SAA ngapi? Hao walinzi wapo na gwajima muda wote hata polisi walikuwa nae muhimbili na hata kwenye hiyo video anayotuhumiwa nayo
 
Pengo kakaa pembeni na hana nia ya kuendeea na jambo hili.

Polisi,Ofizi ya Waziri Mkuu(Usalama wa Taifa) na Ikulu,bado wanamwandama Gwajima kwa nguvu zao zote.
Wanamwandama kwa kile walichokiita matusi kwa Pengo?

Au matusi kwa Pengo kilikuwa ni kisingizio cha kutekeleza azma yao ya miaka mingi?

Hivi ni nini asili ya yote haya? Ni nini kilicho chanzo HALISI cha kutaka kumhoji Gwajima?

Ni kuuita MISUKULE?

Ni hatua ya Gwajima kutangaza KIAMA cha Utawala wa watu waliopata madaraka kwa kutumia NGUVU za Giza,Nguvu za LUCIFA wa kuzimu?

Au Polisi na serikali wanamwandama Gwajima kwa kuivuruga na kuitetemesha nguvu iwapayo uwezo wa kutawala na kutajirika kwa kuchukua Watanzania wenzao MISUKULE?

Gwajima kwa miaka mingi amejikita kweli kweli kwenye suala la kuwaandama wanga wote na kuwatoa nishai.

Je? Gwajima Kawagusa pabaya katika Ulimwengu wa Roho?


Sisi tulio piga Homework nyakati za Usiku enzi zileee, kwa taa ya chemri,tunajua dalili za Taa kuzimika kwa kuishiwa mafuta dakika chache kabla haijazima kikwelikweli.

Taa ILE YA CHEMRI ikiishiwa mafuta, kwamuda mfupi hutoa mwanga MKUBWA kwa mara ya mwisho na Ghafla PUuuuu!!! INAZIMIKA.

Utawala wa Giza Tanzania karibu una kwenda Puuuuuuu!!! na KUZIMIKA ghafla. Wameishiwa WESE la KUZIMU hao.
 
Jibu ni rahisi mimi sio askofu mkuu kama Gwajima na situkani Pengo sababu namjua si wa kutukana yule ni kisiki cha mpingo.Shukuru tu leo nimeamka vizuri nigekporomoshea matusi ya nguoni hadi nipigwe ban.

Looh wewe watu umewapanga mafungu mafungu, wengine hawana maana unaweza kuwaporomoshea matusi na wengine umewavesha uungu
 
serikali ya kipumbavu sana hii kazi yao kuua watu tu maendeleo zero thamani ya shilingi tz inazidi kuporomoka mkalia kupanga mauaji ya raia.pumbavuuu
!!!!!!!
 
Jibu ni rahisi mimi sio askofu mkuu kama Gwajima na situkani Pengo sababu namjua si wa kutukana yule ni kisiki cha mpingo.Shukuru tu leo nimeamka vizuri nigekporomoshea matusi ya nguoni hadi nipigwe ban.
Ha ha ha ha !!
Mi nakupa BAN!!!
 
Pengo kakaa pembeni na hana nia ya kuendeea na jambo hili.

Polisi,Usalama wa Taifa na Ikulu,bado wanamwandama Gwajima kwa nguvu zao zote.
Wanamwandama kwa kile alichokiita matusi kwa Pengo?

Au matusi kwa Pengo kilikuwa ni kisingizio cha kutekeleza azma yao ya iaka mingi?

Au Polisi na serikali wanamwandama Gwajima kwa kuivuruga na kuitetemesha nguvu iwapayo utawala na utajiri kwa kuchukua Watanzania wenzao MISUKULE?

Taa ILE YA CHEMRI ikiishiwa mafuta hutoa mwanga MKUBWA kwa mara ya mwisho na Ghafla PUuuuu!!! INAZIMIKA.

Utawala wa Giza Tanzania karibu UNAZIMIKA, wameishiwa mafuta.
Ujue walikuwa wanamtafuta siku nyingi.
Kaingia anga za Kova.
Ati kwa sadaka za wale watu pale Tanganyika Packers jamaa anunua helikopta??!!
Sasa kaulizwa juu ya "biashara " zake nyingine , jamaa fahamu zimkapepea na kwenda zake!
Wenzake wamemchoma huyo.
 
Ivi huyu ndo alisemaga kuwa anafahamu kuwa Amina Chifupa Amewekwa Msukule na anauwezo Wa kumtoa msukule?
 
Ujue walikuwa wanamtafuta siku nyingi.
Kaingia anga za Kova.
Ati kwa sadaka za wale watu pale Tanganyika Packers jamaa anunua helikopta??!!
Sasa kaulizwa juu ya "biashara " zake nyingine , jamaa fahamu zimkapepea na kwenda zake!
Wenzake wamemchoma huyo.



Watu wanasema ukijua hili wenzako wanajua lile.
 
Back
Top Bottom