Mke wa Dk. Slaa awa kivutio mkutanoni

Sio kweli, wapo wanasiasa ambao ni committed kama Dr. Slaa, Hon. Zitto na the likes pia wapo wanasiasa ambao ni wasanii, wanajulikana hakuna haja ya kuwataja. Msanii anajulikana kwa maneno na matendo.

Mungu ibariki Tanzania

NAOMBA UTEKELEZAJI WA ILANI YAO KTK MAJIMBO YAO TANGU WALIPOIUZA 2005 HADI LEO HII ni kipi wametekelezea wapiga kura wao.
 
Utafanya kosa la karne kujaribu kumwamini MWASIASA anapoibua UOVU wa mwanasiasa mwenzake.

Pila utafanya kosa la karne kujaribu kuamini ama kumtafsri mtu kutokana na maandikp yake badala ya matendo.

Mimi ningekuomba unieleze ILANI ya hao wapiganaji iliyowaingiza 2005 bungeni ni mangapi wameyatekeleza waliyo waahadi wananchi ktk majimbo yao?

mkamap,

Unaongelea watu gani, could you be a little more specific ? Kumbuka watekelezaji mliwaweka wenyewe madarakani na wanaongoza serikali. Kazi anayoifanya Dr. Slaa na wale wote waliojitolea mhanga kutetea wananchi na kukemea uovu ndani ya jamii si kazi ndogo. Isije ikawa na wewe uko kwenye kundi linaloeneza ujinga wa siku zote wa kuwabeza wapinzani ati wamefanya nini huku madaraka mmewanyima na badala yake mmechagua uozo kama tunavyoshuhudia. Kumbuka usemi kuwa ni heri jeshi la kondoo linaloongozwa na simba kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo.
 
Kithuku,

Mkuu wangu weee! hata kama una machungu na Chadema kama chama basi usiwapake tope hata watu wenye mahusiano na wana Chadema...
Inazidi kunisikitisha sana mkuu hasa pale napokuona wewe, Masatu, na Mkamap mnapojaribu kuharibu majina ya watu kwa sababu tu wanatoka upande wa pili...
Iweje kweli siasa ni Usanii?.. au labda mimi ndiye nisiyejua maana ya Usanii maanake navyofahamu mimi Sanaa ni Maigizo, mchoro/mchongo unaoashiria uhai fulani..Lakini sanaa pekee haina ukweli ama hali halisi ya uhai huo, kama vile tungo za hadithi ktk maandishi.
sasa ikiwa kweli Dr. Slaa, mkewe na hata Zitto ni wasanii inatupeleka wwapi ktk ukweli wa matukio yote yaliyozungumzwa. Je, ina maana hakuna kitu kama hicho isipokuwa hawa jamaa wametunga na kutuchorea samaki ukutani?..
Jamani jamani, msiwe wapinzani kiasi kwamba mnapotosha hata wananchi mahala ambapo maslahi ya nchi yetu yananazidi kuporwa na watu ambao nyie wenyewe kwa nafsi zenu hamkubaliani nao ama hampendi yanayotokea...Hata kama nyie ni makada wa CCM inabidi mpongeze vitu kama hivi na kuonyesha kwamba wapo watu ndani ya CCM wanaumia na kuchukia rushwa kama wananchi wengine..
Hivi kweli madai ya hayo mamilioni anayozungumzia mama huyu mnaona kuwa ni mchezo wa usanii? hakuna kilichotokea isipokuwa anatafuta sifa jukwaani?..
 
[/SIZE]

mkamap,

Unaongelea watu gani, could you be a little more specific ? Kumbuka watekelezaji mliwaweka wenyewe madarakani na wanaongoza serikali. Kazi anayoifanya Dr. Slaa na wale wote waliojitolea mhanga kutetea wananchi na kukemea uovu ndani ya jamii si kazi ndogo. Isije ikawa na wewe uko kwenye kundi linaloeneza ujinga wa siku zote wa kuwabeza wapinzani ati wamefanya nini huku madaraka mmewanyima na badala yake mmechagua uozo kama tunavyoshuhudia. Kumbuka usemi kuwa ni heri jeshi la kondoo linaloongozwa na simba kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo.

Kwani wakati wanaomba kura walikua wana waimbia sera gani wananchi? ni hao ma ORYA wetu humu.

SERA zao wenyewe zimewashinda wakaona AHAA UFISADI ndipo pakutokea

wakaona tutoke vipi ehe wakasema lazima tutoke kwa mgongo wa FISADI.

Unapomtafuta nyoka uvunguni anza kutwanga tochi kutokea miguuni kwako SASA ma WARYA wetu ngoja nichukulie KIGOMA badala ya kupiga kelele miundo mbinu mbofumbofu barabara kama za ng'ombe zikiendana na korasi ya UFISADI.

wao wameibwaga hiyo maana wameona ni ngumu kutoka nayo maana ya UFISADI kutoka nayo ni rahisi zaidi.Haya mkuu MWALIMU mzuri ni MDA
 
Kithuku,

Mkuu wangu weee! hata kama una machungu na Chadema kama chama basi usiwapake tope hata watu wenye mahusiano na wana Chadema...
Inazidi kunisikitisha sana mkuu hasa pale napokuona wewe, Masatu, na Mkamap mnapojaribu kuharibu majina ya watu kwa sababu tu wanatoka upande wa pili...
Iweje kweli siasa ni Usanii?.. au labnda mimi ndiye nisiyejua maana ya Usanii maanake navyofahamu mimi Sanaa ni Maigizo ama mchoro/mchongo unaoashiria uhai fulani..Lakini sanaa pekee haina ukweli ama hali halisi, kama vile tungo za hadithi ktk maandishi.
sasa ikiwa kweli Dr. Slaa, mkewe na hata Zitto ni wasanii inatupeleka wwapi ktk ukweli wa matukio yote yaliyozungumzwa. Je, ina maana hakuna kitu kama hicho isipokuwa hawa jamaa wametunga na kutuchorea samaki ukutani?..
Jamani jamani, msiwe wapinzani kiasi kwamba mnapotosha hata wananchi mahala ambapo maslahi ya nchi yetu yananazidi kuporwa na watu ambao nyie wenyewe kwa nafsi zenu hamkubaliani nao ama hampendi yanayotokea...Hata kama nyie ni makada wa CCM inabidi mpongeze vitu kama hivi na kuonyesha kwamba wapo watu ndani ya CCM wanaumia na kuchukia rushwa kama wananchi wengine..
Hivi kweli madai ya hayo mamilioni anayozungumzia mama huyu mnaona kuwa ni mchezo wa usanii? hakuna kilichotokea isipokuwa anatafuta sifa jukwaani?..

Mkandara
niombe radhi ni uungwana tu wa kibinadamu.
Naomba unionyeshe nilipochafua jina la mtu ? ndio tatizo la sisi mkigongana kwa hoja unakua uadui .kazi kweli kweli
 
Kwani wakati wanaomba kura walikua wana waimbia sera gani wananchi? ni hao ma ORYA wetu humu.

SERA zao wenyewe zimewashinda wakaona AHAA UFISADI ndipo pakutokea
wakaona tutoke vipi ehe wakasema lazima tutoke kwa mgongo wa FISADI.
Unapomtafuta nyoka uvunguni anza kutwanga tochi kutokea miguuni kwako SASA ma WARYA wetu ngoja nichukulie KIGOMA badala ya kupiga kelele miundo mbinu mbofumbofu barabara kama za ng'ombe zikiendana na korasi ya UFISADI.
wao wameibwaga hiyo maana wameona ni ngumu kutoka nayo maana ya UFISADI kutoka nayo ni rahisi zaidi.Haya mkuu MWALIMU mzuri ni MDA

Nimeisoma hii post mara mbili sikuelewa kabisa kinachoongelewa. Naomba mtu yeyote anisaidie, huyu jamaa anasema nini.
 
Kama kuwa Mwana CCM au hata kuwahi kugombea uongozi kama Mwana CCM kunafanya mtu awe ni msanii anapogombea uongozi CHADEMA mbona kuna kazi? Kwani huko CHADEMA, na hata upinzanini kote, si viongozi wote waliwahi kuwa Wana CCM?

Na hiyo tofauti ya itikadi kati ya CCM na CHADEMA ni ipi? Nijuavyo mie ni kwamba chama kimoja kina viongozi wanaotuibia na kutonyonya kishenzi, na kingine kina viongozi wanaofichua hao wezi. Hakuna ishu ya itikadi hapo.

Dr Slaa ni kiongozi shupavu. Kama CCM walimletea za kuja, naye akawanyoshea kidole kwa kupambana na mteule wao kupitia chama kingine, basi ni dume la mbegu!

Lakini sikuwa najua Slaa anakaa nyumba moja CCM. Awe mwangalifu sana kwani hawana simile wale!
 
1.

Mkuu haya maneno yanaweza kuwa na ukweli, iwapo utathibitisha hapa kuwa kabla ya kuwa mbunge, Dr. Slaa alikuwa hana kazi yoyote, lakini kama alikuwa nayo basi hii kauli unahitaji kuifuta, maana ni kumpaka matope Dr. Slaa bila sababu ya msingi politically au iwe personally!

Dr. Slaa ni mzaliwa wa Karatu, sio mgeni wa kutoka jimbo lingine, sasa kama ameona ana uwezo wa kuwasidia wananchi wake, na nafasi ipo kupitia Chadema, what is wrong with that? Yaani unasema sisi wananchi tuache kutafuta njia za kuyasaidia majimbo yetu kwa kuwazikiliza baadhi ya viongozi mafisadi wa CCM?

Kwa hiyo unasema kwua viongozi wote wa upinzani waliowahi kuwa wanachama wa CCM waliondoka kwa hasira kwa sababu walijua kuwa hawana chance ya uongozi kule? Kwa hiyo una maana hawa viongozi ni wasalaiti kama anavyosema Makamba? Alichofanya DR. slaa ndiyo hasa demokrasia yenyewe at work!

Labda uifafanue zaidi hii point!

4.

Migogoro ya siasa ipo katika kila chama cha siasa dunaini haikwepeki, na ndio demokrasia yenyewe, sio kwamba viongozi wa chama cha siasa lazima wakubali tu kila wanachoambiwa na wengine, hapa kwa kweli hatumsaidi Dr. Slaa na anything kama hii ishu, ila ninaamini tumefikia mahali tuna-abuse tu kuwepo kwake hapa JF.

Infact recently tumenza kushindwa kuitumia nafasi ya DR. slaa kisiasa na kuwepo kwake hapa na tumeanza kuitumia nafasi yake na kuwepo kwake hapa kama adhabu kwake, nafikiri tunahitaji kufikiria tena umuhimu wa kuwepo kwake hapa JF na tuweze kuitumia nafasi hiyo kwa faida ya taifa badala ya never ending attacks tena personally, that is low!

Mkuu hawa watu wanajua wanafanya makusudi.Inasikitisha mtu mwenye uelewa mkubwa kama KJ kutoa matamko kwama haya.Nafikiri fundisho alilotoa Rais Thabo Mbeki litachukua mda mrefu kwa waafrika kuelewa,lakini tunaenda taratibu maana Tanga tayari wameshaelewa somo kwa kuchagua madiwani wa CUF licha ya vitisho vya Katibu wa Mkoa wa CCM aliyesema wakichagua upinzani miradi ya maendeleo haitapelekwa.Wananchi hawa wametoa somo kwa viongozi ambao bado wamegubikwa na mfumo wa chama kimoja kifikra.
Mimi naomba Dr Slaa na FMES msikatishwe tamaa na watu wa aina hii,kazi yenu ni ya kitume.Manabii wote wa mungu walipingwa sana,licha ya kwamba walikuwa wanawahubilia njia sahihi za kupata baraka kutoka kwa mwenyezi mungu.Matokeo hayo ya Tanga na Maswa ambako CHAUSTA imeshinda ni matokeo ya juhudi zenu za kuwakomboa wananchi kifkra.
Nawaombeni nyie wote wenye kuweka mbele maslahi ya taifa letu,hakika mtashinda kwa sababu hamkinzani na dhamira zenu.Hao wanaoshabikia ufisadi wanapingana na dhamira zao,sanasana wanasukumwa kukidhi tamaa ya miili yao sio fikra na dhamira zao zinasutwa rohoni mwao.
 
Mkuu heshima mbele sana, maneno mazito sana mpaka yamenitoa machozi, ubarikiwe tu!
 
Mkamap,
Mkuu mwanajeshi sio lazima abebe bunduki...tumetoka mbali mkuu.huyasoma maandiko yako hata kama hakutaja jina..kama vile mshabiki wa Yanga pale National stadium...
Mada hii haina tofauti za kimawazo hata kidogo isipokuwa ni uzushaji wa hoja zinazoweza kufurahisha baraza..
 
Its simple Chadema wanaamini CCM imejaa mafisadi, imechoka na haiwezi tena kuongoza. Kamanda wetu ana share kitanda na mmoja wa hao Mafisadi ambao deepdown anaamini CCM ni wameharibika beyond repair.

Swali: Huyu Mama anafanya nini huko CCM kama si usanii? Does this sound to b rocket science?
 
Jamani waungwana, sidhani kuwa kuna asiyefurahia kazi ya kufichua mafisadi aliyoifanya Dr. Slaa. Kwa hilo anastahili pongezi. Sasa je kwa vile alifanya hayo ina maana yeye hajawahi kukosea au ndio hatakosea tena?

Kwa nini mambo yake yanapowekwa wazi watu wanakunja nyuso wakati ni ya kweli na yeye mwenyewe yumo mtandaoni kujitetea? Dr. Slaa na mke wake kwa nyeti nilizopewa hivi karibuni ni kuwa wote walikuwa makada maarufu wa CCM. Yeye Dr. Slaa akaiacha CCM tu pale alipotemwa kwenye kuteuliwa kwenye ubunge.

Sasa ukiachilia mbali hayo aliyokuja kufanya baadaye ya kulipua mabomu ya mafisadi, hatua yake hii ya kuhama vyama baada ya kupigwa panga alikotoka ina tofauti gani na akina Lamwai, Ngawaiya, Tambwe Hiza n.k. waliotoka upinzani na kuingia CCM?? Hawa tumewaita wasanii siku zote, sasa inakuwaje kibao kikimgeukia Dr. Slaa watu wanapiga kelele. Tuwe wakweli na kuiita hali kama ilivyo na isiwe tunaikubali upande mmoja na kuipiga mawe upande wa pili. Kwa kifupi ni kuwa Dr. & Mrs. Slaa wametuonyesha aina mpya ya usanii TZ, mke kada CCM na mume kingunge CHADEMA. This is new in TZ.
 
Masatu,
Mkuu acha zako hizo yaani unataka kunambia kama wewe ni Muislaam/mkristu, ikiwa baadhi ya masheikh/Mapadre wakiwa wazinifu basi huna haja ya kuwalaumu wao bali dawa ni kuondoka dini?..
Unachoamini ni hao masheikh au kitabu?..
Hakuna mtu anayepinga katiba ya chama, ilani ya chama wala sera za chama isipokuwa chama kimeshikwa na watu wasioamini wala kuongoizwa na kitabu..
Mama Slaa ni mmoja kati ya waumini wanaofuata kitabu na wanasema ukweli hata kama ukweli huo unawaumbua baadhi ya viongozi wa juu. Anachofanya ni kujitenga na msikiti/kanisa la mafisadi kama alivyofanya Obama.
 
Masatu,
Mkuu acha zako hizo yaani unataka kunambia kama wewe ni Muislaam/mkristu, baadhi masheikh/Mapadre wakiwa wazinifu basi huna haja ya kuwalaumu wao bali dawa ni kuondoka dhehebu hilo?..
Unachoamini ni hao masheikh au kitabu?..
Hakuna mtu anayepinga katiba ya chama, ilani ya chama wala sera za chama isipokuwa chama kimeshikwa na watu wasioamini wala kuongoizwa na kitabu..
Mama Slaa ni mmoja kati ya waumini wanaofuata kitabu na wanasema ukweli hata kama ukweli huo unawaumbua baadhi ya viongozi wa juu.

Kidogo kidogo tunatoka kwenye mada.... sasa hayo ya uzinifu na masheikh/mapadre yanatokea wapi? Im out....
 
Masaki,
Bila shaka mkuu, Ni mfano tu unaolingana na matakwa yako kwa nini Mama Slaa bado yuko CCM ikiwa imejaa mafisadi..Anachofanya ni kujitenga na kundi baya linaloharibu jina la chama.
 
Masaki,
Bila shaka mkuu, Ni mfano tu unaolingana na matakwa yako kwa nini Mama Slaa bado yuko CCM ikiwa imejaa mafisadi..Anachofanya ni kujitenga na kundi baya linaloharibu jina la chama.

Hope u meant Masatu!
 
Its simple Chadema wanaamini CCM imejaa mafisadi, imechoka na haiwezi tena kuongoza. Kamanda wetu ana share kitanda na mmoja wa hao Mafisadi ambao deepdown anaamini CCM ni wameharibika beyond repair.

Swali: Huyu Mama anafanya nini huko CCM kama si usanii? Does this sound to b rocket science?

Neno imejaa mafisadi, haina maana kwamba wote ni mafisadi unless wangesema kuwa wote ni mafisadi, lakini hawakusema hivyo unless kuna something I am missing!
 
Neno imejaa mafisadi, haina maana kwamba wote ni mafisadi unless wangesema kuwa wote ni mafisadi, lakini hawakusema hivyo unless kuna something I am missing!

You got it right! hata hivyo mantiki ya post sijui kama umeipata.... but to help u out nimemalizia na kusema kwa mtazamo wao CCM ni beyond repair in that case hakuna vita ya ufisadi kuipigania ndani ya ccm ni its as good as wasting time, then conclusion Mama Slaa kuwa CCM ni usanii...
 
Masatu,
Nimekuwa nikifuatilia mada hii na pengine mada nyingine zote lakini zijaona mahala hata pamoja ambapo kuna mtu kasema - CCM is BEYOND repair...Tusingekuwa tukibishana kuhusiana kitu ambacho kipo ktk hali hiyo hata kidogo...
CCM sio JK, Lowassa au Manji hawa watu wanaweza kuondoka any time na hakuna kitakachobadilika..tofauti yao ni kama kuchota debe la maji ktk bahari..
 
Back
Top Bottom